Urafiki Na Mume wa Mtu!!!!!!!!!

Urafiki Na Mume wa Mtu!!!!!!!!!

Hamna ubaya mradi tu isiwe too much everywhea mko pamoja, mbaya ni ile kunakua na mixture ya urafiki na kumezeana mate lol!

Hahahahaaaaaaaaa! Hamna bana kumezeana mate!!!!!!!1 Sema tu kuna yeye kunitreat endless na kunikopesha na kugoma nisimlipe!!!! LOL! Man like these are hard to find these days!:cheer2:
 
As long as the marriage is in good health, then it's okay. Tatizo ni wakati the marriage is on rocks, hiyo kampani inaweza kugeuka 180degrees.

Hahahaaaaaa! Marriage smts gets in rocks kama zingine na bier u zinazidi ofa zinageuka on daily basis lakin hamna kitu! Wkiwork out inarudi routinery!!!!!!!!!!!
 
Ngoja nikuulize, since he's super nice to you, je akikuomba itakuwa kosa? Maana wengi wetu tunaanzaga hivi hivi, mara ofa ya mihogo ya kukaanga, kuku chips, huku tukisifia wake zetu kutaka kuona your reactions then ukishatuzoea ndipo tunaomba kitumbua cha nazi. Mazoea mabaya dada yangu, utakuja jikuta unatoa tu tena kwa huruma ila tu nakusihi usijizoeshe na vya nje kwani vya kuibia ni vitamu zaidi.

Ataomba kwa grounds zipi wakati tayari kaniambia ana mke na mtoto na anampenda mkewe!!!!!!!!!!? Sasa ataniomba kwa grounds gani manake ya upendo haipo iko kwa mkewe, ya tamaa tumejuana abt 3 years kama tamaa ziliexpire, ya kujiburudisha alishasema sio lengo lake!!!!! Lengo company tu!
 
tatizo tumezoea tukiona manyoya tanajua tayari ameshaliwa huyo

Hahahaaaaaaaaa! Kondoo Hajaliwa bwana kanyonyolewa sufi tu za kuuza! Yupo hai bila manyoya!!!!
 
Huwa unammiss? Do you (both of) look forward for the next date?

I think sio vizuri kinachotokea hapo both of you mnaziba mapengo ya relations zenu. I mean kinachopungua mnakijazia kwenye urafiki wenu; sasa wait till upungufu uingie kwenye maswala ya bedroom automatically mtajazia.

His wife is supposed to be his best friend; they should be going out n having quality time together and so do you n your boyfriend!
 
Mmh ndo mwanzo wa kuwa hz companion hapo ss na that is hatar kdg

Ila al in al ntakupima kwnza kama we mkali kulko mm hell nah stay away frm hm ila kma wa kawaida sana poa subirien tu hyo jam ipungue

Hahahaaaaaaa! Mi mkali kuliko mkewe si unajuam mkewe kashusha engine plus AGE is a BIACH!!!!!
 
Hahahahaaaaaaaaaaaaaaaa! Joints tunazokunywa hazina Guest walam lodge! We will be safe! LOLEST!

Lara bana,ninazo expiriensi nyingi sana kwani ni mnywaji mzuri,ohh!unaweza kukunjwa kwenye ka-Starlet kesho yake usiamini kama ni wewe!!haya
 
Huwa unammiss? Do you (both of) look forward for the next date?

I think sio vizuri kinachotokea hapo both of you mnaziba mapengo ya relations zenu. I mean kinachopungua mnakijazia kwenye urafiki wenu; sasa wait till upungufu uingie kwenye maswala ya bedroom automatically mtajazia.

His wife is supposed to be his best friend; they should be going out n having quality time together and so do you n your boyfriend!

Hahahahaaaaa! I dont miss him! Bt i do miss his treats to be honest! Na im in this friendship coz he is treating me like a queen n all that! Yaani inakuwa twende wapi leo? Unajisikia kufanya nini leo?

Hahahaaaaaa! Sasa yeye ndo anapenda company yangu not his wifes!!!!!!!! Mi naona ni sababu ya umri plus perspective ya kuangalia maisha! Akimtreat mkewe Golden Tulip pale akaona wekundu wanavochomoka na home kwao nyumba haijaisha vizuri ataanza kuleta uparty pupper kwa kumshauri hizo hela wanunue cement! Au wakajenge kiwanja kingine! Au wamsomeshe mtoto wa shangazi!

A man needs some goodtimes frm time to time! He deserves to relax, me nikiona wekundu wanakatika namwambia you should tip the waiter!!!!!!!!LOL! Badae najisemesha nimefulia sanaaa! Napewa zangu kilo! Aaaaaaah! Sometime a man jst wants you to tream him like he is in control! Pedesheeeeeeeee!!!!! sasa ukikomalia kumkumbusha his failures goodtimes zinageuka bad!!!!!!!!!

Wanaume mkiendekeza midada ya mjini hamtojengaaa! Muulizeni Ndikumana!!!
 
i beg to differ! urafiki huu si salama kwa ndoa zote mbili. intimacy chanzo chake ni kufahamiana kwa karibu. Unapokuwa karibu sana na binadamu wa gender nyingine ambaye si dada wala kaka mkawa mnakutana mara kwa mara uwezekano wa kuhamia stage nyingine ni mkubwa. anachoongelewa mtoa mada ni sawa kabisa na kuuliza je kisu kikiwa karibu na mnofu wa nyama kikawa karibu kabisa mara kwa mara hakiwezi kukata mnofu? hicho kidude ambacho hajaomba ni kwa sababu muda haujafika ataomba tu. So I would say urafiki huo usiruhusiwe kustawi sana.... pana hatari.

Hatari gani? inaweza hata ikaathiri performance ya pande zote mbili wakati wa lile zoezi nyeti kwa yeyote kati yenu kuweka mwili kwenye ile theatre ya usiku na kumbe roho ikawa nje. Hili huzaa kitu kinaitwa frigidity--and it is not healthy at all. So? I'd say NO... punguza kumzoea sana huyu rafiki yako wa jinsia tofauti nje ya ndoa. That relationship is not safe.

FRIGIDITY!!!!!!!!!!! Mmmmmmh! You do have a point kwenye hilo! Maybe kwake siwezi jua! Sasa naupunguza kwa grouns zipi?
 
Urafiki wowote wa mwanamke na mwanaume lazima itafika point mtalambana tu. Fikiria katika huo huo urafiki siku mkaingia club,mkakaa kwenye coach na pana gizagiza,unadhani mtaongelea simba na yanga hapo...!
 
Nakumbuka tena mimi si nilikupa hela yakwenda kuitoa.

Kweli umesahau Mama yako mzazi alinililia manake alishafungashiwa virago!!!!!! Na uzee ule angeenda wapi! Mimi mama yako ujue ilikupasa uanze na shikamoo kabla hujacomment!:cheer2:
 
See what l meant?
Wewe unamiss kuwa treated as a queen whiich your BF is not doing, probably because ana mambo mengi ya maendeleo anayafanya.

And him, being that age feels good with a chick around, anajiona young na useful! Poor him!

Anyway; you know deep down in your heart kuwa sio nzuri ndio maana umewashauri wanaume kuwa makini. Assume ni mzazi wako; so kuna watu wanaokuwa affected negatively (mkewe, kids, your BF) na hiyo kitu. Your conscious is what matters mwisho wa siku!

Hahahahaaaaa! I dont miss him! Bt i do miss his treats to be honest! Na im in this friendship coz he is treating me like a queen n all that! Yaani inakuwa twende wapi leo? Unajisikia kufanya nini leo?

Hahahaaaaaa! Sasa yeye ndo anapenda company yangu not his wifes!!!!!!!! Mi naona ni sababu ya umri plus perspective ya kuangalia maisha! Akimtreat mkewe Golden Tulip pale akaona wekundu wanavochomoka na home kwao nyumba haijaisha vizuri ataanza kuleta uparty pupper kwa kumshauri hizo hela wanunue cement! Au wakajenge kiwanja kingine! Au wamsomeshe mtoto wa shangazi!

A man needs some goodtimes frm time to time! He deserves to relax, me nikiona wekundu wanakatika namwambia you should tip the waiter!!!!!!!!LOL! Badae najisemesha nimefulia sanaaa! Napewa zangu kilo! Aaaaaaah! Sometime a man jst wants you to tream him like he is in control! Pedesheeeeeeeee!!!!! sasa ukikomalia kumkumbusha his failures goodtimes zinageuka bad!!!!!!!!!

Wanaume mkiendekeza midada ya mjini hamtojengaaa! Muulizeni Ndikumana!!!
 
Kweli umesahau Mama yako mzazi alinililia manake alishafungashiwa virago!!!!!! Na uzee ule angeenda wapi! Mimi mama yako ujue ilikupasa uanze na shikamoo kabla hujacomment!:cheer2:

Nisamehe mama wa kambo, Shikamooooo!!!!
 
As long as naweza kupata access ya Paw wangu anytime akiwa na huyo rafiki yake wa kike, na naruhusiwa kuhang nao ama kupop in anytime i want. He can have all the lady friends he want in the whole universe. Ila sio akienda kummeet AshaDii ndo nikipiga simu haipokelewi utasema wanajadili hatma ya chadema masalia, ama nikiuliza mko wapi nije kula kuku napandiwa hewani kama mwehu, hapo patachimbika. I have male friends na sina uhusiano nao. Naye nategemea the same.

Umeonaaaaaaa!!!!!!!! ITS NOT A BIG DEAL!!!!!!! Story tu zinakutoa roho!!!! Its not worth it! Hata ukigombana na mwenzio ukiulizwa kakukosea nini hutokuwa na jibu!
 
Hii haipo kwenye menu ya wengi wetu.....

Nisingewezi kukubaliana na hali kama hiyo kama mke wangu ndiye anatoka na mate wake wa kazini,

Pia sitapenda kuendekeza kutoka toka na mate wangu eti kwa kuwa hatuna uhusiano zaidi ya kampani...

Ukikubali kuoa/kuolewa basi umejimilikisha kwa mtu na ownership ni exclusive....
lara 1, ....huna nafasi kwa huyo kaka na wala hutakiwi kuendekeza kampani za mume wa mtu....

Babu DC!!
 
See what l meant?
Wewe unamiss kuwa treated as a queen whiich your BF is not doing, probably because ana mambo mengi ya maendeleo anayafanya.

And him, being that age feels good with a chick around, anajiona young na useful! Poor him!

Anyway; you know deep down in your heart kuwa sio nzuri ndio maana umewashauri wanaume kuwa makini. Assume ni mzazi wako; so kuna watu wanaokuwa affected negatively (mkewe, kids, your BF) na hiyo kitu. Your conscious is what matters mwisho wa siku!

Hahahahaaaaaaaaaaa! Wala my Bf ananitreat sanaaa, sema "More is always prefered to less" The issue is why say no to more treats!!!!!? Hilo la ubaya mimi nimelifikiria ila sijaona uko wapi? Tukianza na amri 10 za Mungu!!!!! Ipi tunavunja? Isitoshe mimi nikikataa ndo nitaanza kupata dhambi ya kusema Uongo, Kuhisi vibaya!

Ofcourse kwa upande wake anaweza kuwa ana makosa ua hana! Mi nilikomuacha alikuwa anapata hela nyingi tu so sidhani kama familia inapungukiwa!!!!!! Na hata angekuwa mzazi wangu mi sioni tatizo!!!!!! He is not doing anything bad!!!!!

Ujue watu wanavonisemasema ndo imenikeraaa ila nikiwaambia waseme ubaya gani nautendaaaa??????? Wanabaki shauri lako, dhambi! Dhambi ipi???????????
 
Back
Top Bottom