Hahahaaaaaa yan hiyo picha naiondoa juu kwa juu wala wadau hawataiona na ntamalizia kwa kudunga ban ya mwezi kama zubedayo mchuzi
Chezeya b52 weye?
my profession; photoshoper/ webdeveloper/designer/ software engineer/ animator/ plus jf moderator kwa iyo mpenzi charminglady usidanganywe na hana lolote huyu Erickb52 tapeli tu
Siamini kama nyie ndio Greeat thinkers, mada mmeiona hapo juu ila full kuandika upuuzi... Qu wengi wenu wanafuzi wa sekondari? Mnaiharibu site bna, JF imekua sehemu y matusi, jokes 24/7, hamuwezi mka discuss la maana
Ahaaa!!! Kumbe wewe ndio uliyenipiga BAN siku ile?
yani we hujui kabisaa tafadhari nicheki kupitia c6@youngmaster.co.tz futa c weka m katikati deshi deshi toa 6 weka y
my profession; photoshoper/ webdeveloper/designer/ software engineer/ animator/ plus jf moderator kwa iyo mpenzi charminglady usidanganywe na hana lolote huyu Erickb52 tapeli tu
Duh!!!! Kweli dunia haina siri.
mama wa nyumbani kwa mapishi ya kila aina nione
yan hapo ndipo unaponidatisha, hebu pokea makiss ya kumwaga lolest! xoxoxoxooo. . . .
siri ni iliyo moyoni, ukijua wa huku sie twajua wa kule hahahaaaaa
Hivi unakumbuka ile hadithi ya mfalme ana masikio marefu kama ya punda?
Hivi unakumbuka ile hadithi ya mfalme ana masikio marefu kama ya punda?
duh,umenkumbusha mbali sana. . . .
ummu kulthum alizeti yangu lini?
kila upepo ukivuma,mti unatoa yamoyoni