ur proffessional please!

Siamini kama nyie ndio Greeat thinkers, mada mmeiona hapo juu ila full kuandika upuuzi... Qu wengi wenu wanafuzi wa sekondari? Mnaiharibu site bna, JF imekua sehemu y matusi, jokes 24/7, hamuwezi mka discuss la maana

humu wote watoto wa chekechea......
Punguza stress
 
Siamini kama nyie ndio Greeat thinkers, mada mmeiona hapo juu ila full kuandika upuuzi... Qu wengi wenu wanafuzi wa sekondari? Mnaiharibu site bna, JF imekua sehemu y matusi, jokes 24/7, hamuwezi mka discuss la maana

Hujui uko jukwaa gani eeh! Tuliza stress hizo
 
Siamini kama nyie ndio Greeat thinkers, mada mmeiona hapo juu ila full kuandika upuuzi... Qu wengi wenu wanafuzi wa sekondari? Mnaiharibu site bna, JF imekua sehemu y matusi, jokes 24/7, hamuwezi mka discuss la maana
We ni KILAZA kweli na sio Great Thinker hata kidogo..
Wewe ndio Mpuuzi mkubwa tena uko Secondary na utapata Div 0 ya 35 yan namaanisha hata kuandika hujui kilaza wee acha kututukana watu wazima na ukome kabisa
 
Achana na c6 hutakumbana na ban uje kwangu nikupe ngao kwa Mods wengine

usitumie cheo chako km fimbo kaka, charminglady anajua mimi ndo kila kitu.. ntakupicha.duka uonekane umelala mtaroni na viroba mkononi
 
Last edited by a moderator:

Hahahaaaaaa yan hiyo picha naiondoa juu kwa juu wala wadau hawataiona na ntamalizia kwa kudunga ban ya mwezi kama zubedayo mchuzi
Chezeya b52 weye?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…