ur proffessional please!

Hahahaha

Mie ni tapeli wa kisasa. Nina kampuni inaitwa 'tunatapeli.com'
Leta mchongo wowote, $,€,£, au ¥ feki. Maji ya viroba, konyagi mwitu, saa na tv feki kila kitu kinauzika. Im a jackal of all trades
 
Positively

Mi ni katibu uenezi wa mtandao wa jamiiforum mkoa wa dar-es-salaam, wilaya ya temeke, kata ya yombo vituka, tarafa ya lumo, kijiji cha forkland, mtaa wa bondeni la mmasai.
 
Daaaaaaaah! Haututakiii mema! Unajua watakao fata watampa na mkeo akuwekee na wewe!

bishanga ni mhudumu mochwale muhimbili,ukihitaji maji yaliyooshewa maiti kwa ajili ya limbwata niPM.
 
Mwanafunzi najiandaa na mtihan wa darasa la saba ndo nakamua kitabu cha jipime kumaliza elimu msing nilimwibia mwl
 
am proffesional internationale striper.....kama una club nakuhakikishia hutajuta......
 
kutana na mimi odm, mi kuli wa kujitegemea. Kama una mzigo usihangaike sana kutafuta mbebaji. Just pm me and i will be there kwa huduma.

haya sema ukweli kabla sijasema. Me nakujua mpaka hapo kwako b..o hizo dash ni.
 
Mwanafunzi najiandaa na mtihan wa darasa la saba ndo nakamua kitabu cha jipime kumaliza elimu msing nilimwibia mwl

hongera mkuu umenkumbusha mbali sana. mwe, enzi hvo tulikuwa tunakamua ackwambie mtu!
 
Mie ni fundi mchundo, kama unahitaji majiko ya mkaa, koroboi, frying pan, nk ni PM
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…