CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
morning guys,
nahisi ni vyema tukafahamu proffessional zenu, mtu anaweza kupata shida asipate mtu wa kumsaidia kiutaalamu. kama tujuavyo hapa kuna ma-doctor kama dr MziziMkavu.. dr. Riwa, wanasheria kama rutashobolwa na wenginie. hakimu Judgement ila sina uhakika. haya tajeni proffesional zenu tufahamu. . .
bishanga ni mhudumu mochwale muhimbili,ukihitaji maji yaliyooshewa maiti kwa ajili ya limbwata niPM.
Kutana na mimi ODM, mi KULI wa kujitegemea. Kama una mzigo usihangaike sana kutafuta mbebaji. Just PM me and I will be there kwa huduma.
nliambiwa porn-star.!!!
kwa msisitizo ninaishi kwa bi' manyau tandale kwa ali maua,ukihitaji paka aina yeyote niPM tu,awemweusi,mwenye jicho moja,mwenye mimba,paka zeruzeru,we nipe oda tu.dah, umejuaje me nina shida nayo sana. make kuna mtu nampenda sana humu, nataka nimwekee. ngoja nikupm fasta. . . .
kwa msisitizo ninaishi kwa bi' manyau tandale kwa ali maua,ukihitaji paka aina yeyote niPM tu,awemweusi,mwenye jicho moja,mwenye mimba,paka zeruzeru,we nipe oda tu.
Mie ni tapeli wa kisasa. Nina kampuni inaitwa 'tunatapeli.com'
Leta mchongo wowote, $,,£, au ¥ feki. Maji ya viroba, konyagi mwitu, saa na tv feki kila kitu kinauzika. Im a jackal of all trades
Beki teller, ukinihitaji sema
I used to teach but since the government dismissed our claims i started to cheat!
Niko Tandale Uzuri, kazi yangu Mpiga Debe...
ntakutafuta unipe maujuzi ili nikampagawishe baba watoto @C6
hahaa, ndo kusema unai-cheat government au?