Upweke usikufanye ukaumiza mioyo ya watu

Upweke usikufanye ukaumiza mioyo ya watu

wakati unasubiria muhusika si mbaya ukawa ukapata wa kubuy time nae lakini sema ni vema ukamwambia akajua toka awali kwamba huna future nae
 
pole..... chukulia ka kidonda tu.... kitauma sana kwa sasa ila baadae kitapona na utaendelea na maisha...pia jarbu kutokaa mwenyewe wakat uko idle ili kupunguza upwekr ambao utakuletea mawazo ya zaman....

Thanks little hulk!
 
Ukishaamua kumvulia mtu asiye na mandate ya mwili wako tarajia mabo kama hayo...
Unalalmika nini wakati ulivua kwa ridhaa yako? kwani mliandikishiana mahakama kuwa lazma akuwowe?
 
Even in matters of love, tread carefully. Sio unaingia kichwa kichwa.
 
Ukishaamua kumvulia mtu asiye na mandate ya mwili wako tarajia mabo kama hayo...
Unalalmika nini wakati ulivua kwa ridhaa yako? kwani mliandikishiana mahakama kuwa lazma akuwowe?

Kauli ya kikatili nyingine hii hapa...kwani nilivua peke yangu? Na wewe si ulivua?
 
gaidi kama wew du hatar hii anko anaogopwa hata na watoto

Love r/ships nyingi ndani yake kuna machukizo, unafiki, ugaidi, usaliti,uongo ivoo...
Lkn tunajifanyaga makomando, majasiri tu.
 
hayo mambo yapo. ukijikwaa sana unakaa chini unagugumia maumivu, kama vipi unalia kabisa, halafu baadae unaamka unaendelea na safari huku ukichechemea, baadae maumivu yanapotea unavaa na kiatu kabisa unaongeza mwendo. hakuna muda wa kupoteza kulaumu jiwe maana hata halijui kama umeumia. lenyewe liko pale pale linasubiri mpita njia mwingine anayetembea akiangalia juu huku yuko peku ajikwae. huo muda unaotumia kulaumu jiwe ungeutumia kuskilizia maumivu na kukusanya nguvu ya kunyanyuka.
 
duh!!! maisha ndo yalivyo. Sometimes ni vise versa. Unakuwa na mwanamke anakudanganya anakupenda ili hali ana mwingine. Unaweka mipango yako yote kwake kumbe yeye anakuchora.

Kwa hili ni kumwomba Mungu akutangulie kwa kila jambo mbali na hapo utakuwa mtu wa kulia tu.
 
Kauli ya kikatili nyingine hii hapa...kwani nilivua peke yangu? Na wewe si ulivua?

Kuna ukatili gani hapo?
Tulikubaliana kuvuana bila makubaliano ya ndoa

..it was a mutual agreement.
Ulalamike nini sasa!!!
 
Maisha ya mapenzi hayajawahi kuwa fair mamaa... ukiona hivyo na wewe unatafuta wako wa tempo...
 
To be alone is a challenge tena kubwa.
But ukaweza kijikubali muda huo unaweza kufanya majambo makubwa sana.
 
hayo mambo yapo. ukijikwaa sana unakaa chini unagugumia maumivu, kama vipi unalia kabisa, halafu baadae unaamka unaendelea na safari huku ukichechemea, baadae maumivu yanapotea unavaa na kiatu kabisa unaongeza mwendo. hakuna muda wa kupoteza kulaumu jiwe maana hata halijui kama umeumia. lenyewe liko pale pale linasubiri mpita njia mwingine anayetembea akiangalia juu huku yuko peku ajikwae. huo muda unaotumia kulaumu jiwe ungeutumia kuskilizia maumivu na kukusanya nguvu ya kunyanyuka.

nashukuru sana mkuu,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom