Nilipiga chabo wakati mnavuana....!ulikuwepo?
pole.....
By the time you learn the rules of life, you're too old to play the game....
Pole sana dadangu, msituchukulie serious sana, at times we're very cruel, heartless, brutal,magaidi ivoo...
https://www.thetreeofawakening.com/karma/#comment-4309Habari wana MMU.
Kuna jambo linaumiza sana watu, utakuta mtu ili kuondoa upweke ametafuta boyfriend/girlfriend ambaye siye chaguo lake, watafurahi vizuri na nini na nini.
https://www.thetreeofawakening.com/karma/#comment-4309
Baada ya muda mtu anamwacha girlfriend au boyfriend kisa amepata chaguo lake, anamwacha mwenzie kwenye maumivu au hata kamtundika na mimba kama ni msichana.
Is it fair jamani?
Inaumiza sana kwa kweli.