Habari wana MMU.
Kuna jambo linaumiza sana watu, utakuta mtu ili kuondoa upweke ametafuta boyfriend/girlfriend ambaye siye chaguo lake, watafurahi vizuri na nini na nini.
Baada ya muda mtu anamwacha girlfriend au boyfriend kisa amepata chaguo lake, anamwacha mwenzie kwenye maumivu au hata kamtundika na mimba kama ni msichana.
Is it fair jamani?
Inaumiza sana kwa kweli.