Feeling lonely na kuishi pekee ni vitu viwili tofauti. Mwanamke akiwa peke yake anaweza asi- feel lonely.Na why unafikiri 'married people wanakuwa zaidi lonely
kuliko singles?
Its mental.
You can be in the middle of NYC and lonely, or the middle of Siberia and not lonely.
As long as I have mental stimulation, a good book, a movie, engaging work, music, radio etc I cannot be lonely.
And I might be lonely in the middle of a boring party.
Kiranga, aren't we supposed to have gone through proper training to avoid loneliness??? or it is a vacuum to be filled anyhow?
nyani ngabu inawezekana uko very lonely,niamini
Kuna kitu wanaita anxiety hivi
nitakupa mfano
ukiwa na TV ya channel moja
utakuwa so sure ukiwasha kutazama tv yako unatazama nini
ukiichoka unaizima
but kama una channel 100?
pengine utajikuta unatumia muda mwingi kubadili channel kuliko kutazama
technology inatufanya tuwe connected na watu weengi kwa pamoja
so ni distraction ya aina fulani kwa mahusiano ya siku hizi
we end up being lonely more
Me pia ni mpweke at list nikiingia JF and other blogs nafarijika sana
Kuna kitu wanaita anxiety hivi
nitakupa mfano
ukiwa na TV ya channel moja
utakuwa so sure ukiwasha kutazama tv yako unatazama nini
ukiichoka unaizima
but kama una channel 100?
pengine utajikuta unatumia muda mwingi kubadili channel kuliko kutazama
technology inatufanya tuwe connected na watu weengi kwa pamoja
so ni distraction ya aina fulani kwa mahusiano ya siku hizi
we end up being lonely more
Feeling lonely na kuishi pekee ni vitu viwili tofauti. Mwanamke akiwa peke yake anaweza asi- feel lonely.
Wakati ambapo other women can be sitting next to their husbands watching movies together, or sharing a bed and still feel lonely.
Loneliness inajumuisha mambo mengi, yakiwemo mambo yafuatayo:
rejection,
abandonment, and emptiness
while alone time inamwezesha mwanamke single, the freedom to do something she enjoy in the company of herself.
Mkuu,Huko kuzunguka zunguka kwenye TV ndio kunasababisha au ni matokeo?