Upweke / loneliness

Upweke / loneliness

Sangarara

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
13,104
Reaction score
5,665
Jana Jioni tumekutana Wallet Pub - Tabata na rafiki yangu wa siku nyingi sana, ana mke na watoto watatu tayari, nilipomuuliza mbona anakunywa sana siku za hivi karibuni badala ya kunijibu akaniuliza "mbona na wewe unatembelea sana JF?"

Kisha akasema wote tunasumbuliwa na Upweke tu hakuna kitu kingine, nikaipotezea hiyo story haraka sana, sasa leo baada ya kutafakari hasa ili ku-deduce uwezekano wa mimi kuwa mpweke nikajikuta na google ili kupata details za hii kitu.

Moja ya taarifa inasema, zaidi ya nusu ya population ya dunia iko lonely,Na inasemekana lonely people end up doing things or behaving in a very awkward manner.

Na ni majuzi tu dunia imevuka record ya watu bilioni saba wanaoishi right here on planet earth.

sasa what makes us lonely?
 
Very interesting thread
Na wanasema 'married people are more lonely kuliko walio single

mi nafikiri kinachotusumbua ni new lifestyles na new technology

tuko more exposed na maambo mengi yanayotufanya tuwe na upweke wa aina fulani
 
Being lonely is just part of the human condition.
 
Very interesting thread
Na wanasema 'married people are more lonely kuliko walio single

mi nafikiri kinachotusumbua ni new lifestyles na new technology

tuko more exposed na maambo mengi yanayotufanya tuwe na upweke wa aina fulani

THE BOSS, sio kwamba new technology imetukurupua na kuonyesha hali yetu halisi?
 
Kuna kitu wanaita anxiety hivi
nitakupa mfano
ukiwa na TV ya channel moja
utakuwa so sure ukiwasha kutazama tv yako unatazama nini
ukiichoka unaizima
but kama una channel 100?
pengine utajikuta unatumia muda mwingi kubadili channel kuliko kutazama

technology inatufanya tuwe connected na watu weengi kwa pamoja
so ni distraction ya aina fulani kwa mahusiano ya siku hizi
we end up being lonely more
 
Can you explain?

Sure.

Loneliness can be caused by many different factors.

Those factors could be medical such as depression or autism.

They could be geographical i.e. one is far away from friends and family and finds it hard forming new relationships wherever he or she may be due to things such as cultural differences, language barriers, and etc.

But some are just born that way, meaning they just like to be alone.

Some loathe drama and in order to stay drama free they choose to live lonelier lifestyles.

Others could be focused on achieving some goals and in order to stay focused they must adopt a tunnel vision-like attitude which pretty much shoves off many distractions including interactions with other people, thus leading to long term or short term loneliness.
 
Naona hiyo ya mwisho inatusibu watu weengi
 
wewe nini kinakusababishia?
 
wewe nini kinakusababishia?

I'm not lonely. I have an awesome family support system.

I have my baby, who is my number one fan and biggest cheerleader. In fact, we are each others' number one fans and each others biggest cheerleaders.

But I also have cousins, uncles and aunties, and others.
 
mtu aliyebusy anafanya kitu sensible unaweza kumuita lonely mkuu? au unajichagulia sababu nzuri?

kuwa busy na ku focus na some goals
imechangiwa na 'mahitaji mapya' katika kuishi hii karne ya information age
with new information tunazo zipata na maisha yanabadilika
now tunakuwa na new goals za life
so new millennium lifestyle inasababisha tuwe more lonely
 
I'm not lonely. I have an awesome family support system.

I have my baby, who is my number one fan and biggest cheerleader. In fact, we are each others' number one fans and each others biggest cheerleaders.

But I also have cousins, uncles and aunties, and others.

You are damn lonely big lad!!! hahahahaha a number one person in your life is a baby?? ooh men. how old is it?
 
SANGARA

Loneliness is when you are unhappy to be alone. Solitude is when you are happy to be alone. There is nothing with solitude, wanting to, or enjoying being alone. Alone time can be useful and enjoyable.

Last edited by a moderator:
kuwa busy na ku focus na some goals
imechangiwa na 'mahitaji mapya' katika kuishi hii karne ya information age
with new information tunazo zipata na maisha yanabadilika
now tunakuwa na new goals za life
so new millennium lifestyle inasababisha tuwe more lonely

Kwa hiyo watu wa vijijini wanaweza wakawa better zaidi?
 
You are damn lonely big lad!!! hahahahaha a number one person in your life is a baby?? ooh men. how old is it?

I am not lonely, so stop imagining things.

And my baby is not 'it'. Her sex is known. So get that right.

And yes, she is my number one fan and my biggest cheerleader and I am exactly the same to her.
 
Back
Top Bottom