The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,653
Kwa hiyo watu wa vijijini wanaweza wakawa better zaidi?
Hii iko wazi mbona?
watu wa vijijini sababu wanaishi maisha ya kutegemeana sana
wako better
Kwa hiyo watu wa vijijini wanaweza wakawa better zaidi?
I'm not lonely. I have an awesome family support system.
I have my baby, who is my number one fan and biggest cheerleader. In fact, we are each others' number one fans and each others biggest cheerleaders.
But I also have cousins, uncles and aunties, and others.
I am not lonely, so stop imagining things.
And my baby is not 'it'. Her sex is knows. So get that right.
And yes, she is my number one fan and my biggest cheerleader and I am exactly the same to her.
Again, who doesn't have those forks? and yet are lonely, try get a good reason to cover yourself. By the way haujaniambia is lonely desirable or not? you said it is a human condition.
But life is what you make it. If you have them and you are still lonely then that's you and only you. Not me.
I have people around me who make me happy and because of that and their support, I am not lonely.
Now, is loneliness desirable or not? Well, that depends on how you look at it. So take a look at, give it some thought, and then judge it for yourself.
You are being so uneven here, you said folks in marriages are the most lonely, and here you are using almost all your resources to justify how people around you makes you happy? aren't people in marriage not around each other? do not take this personal, just need to share the reality just like how I asked why are we lonely and are already more than a billion of us.
Human beings these days have unreasonable expectations of life, and these are brought about mainly by tv shows, movies, magazines and etc potraying lifestyles that we are made to beleive are permenant kumbe they have been staged for the cameras!
Kuna kitu wanaita anxiety hivi
nitakupa mfano
ukiwa na TV ya channel moja
utakuwa so sure ukiwasha kutazama tv yako unatazama nini
ukiichoka unaizima
but kama una channel 100?
pengine utajikuta unatumia muda mwingi kubadili channel kuliko kutazama
technology inatufanya tuwe connected na watu weengi kwa pamoja
so ni distraction ya aina fulani kwa mahusiano ya siku hizi
we end up being lonely more
mi ni mpweke haswa,sipendi kabisa kuongeaongea.watu wengi wanaonizunguka wananitafsiri vibaya.ninakaukiwa na maneno.kwa muda mrefu inanisumbua sana,sijui nitamaliza vipi hili tatizo,ni kubwa sana na ni zito kwangu
nimejaribu lakini kuna muda najiskia kuchanganyika na kuzungumza na watu lakini maneno yanakuwa hayapo.kichwa kinakuwa BLANK,KUTOKUWA NA MANENO YA KUONGEA NDIO TATIZO.wengine wanasema naringa,najisikia.kuna wengine wananitenga kabisa.hapa nilipo ninaogopa nikija kuhama nyumbani nikianza kujitegemea nitaishije na watu wengine nje ya familia yangu[/QUOTE]Find a hobby
that is so true ...unakuta mfano wanandoa (the loneliest of them all) wanapokuwa na tofauti baina yao, they talk/communcate less among themselves lakini wakija jf wanajiachiaaaa kwa uhuru kabisa badala ya kuongea na wenzi wao. kwa walio single pia unakuta muda mwingi mtu yupo busy say may be na kazi then akirudi nyumabni/ghetto ni tv halafu jf na hivyo wanajikuta wanajumuika less na wanajamii ..au kukutana ni mpk kilaji kiwepo.. mtazamo wangu tu