Upweke / loneliness

Upweke / loneliness

nimebak lonely iiiiiiiiii...nimebak lonely mimiiiiiii...nlempenda mwanzo kaniniacha.......zzzzz...most of us we thnk lonlness caused by breakup bt ts nt true
 
Upweke haufai, kumbuka wengi wafanikiwao ni wale ambao ni engageful.Unapofil uko mpweke ni wakati wa kufanya "revolution

Kwa maana ipi mkuu? Nifafanulie Mkuu? Hata mimi ni so mpweke. Nimekuwa kwenye relationships nyingi, lakini bado sitosheki. Nikiwepo nakuwa mpweke, nikitoka nakuwa mpweke pia.
 
Kwa maana ipi mkuu? Nifafanulie Mkuu? Hata mimi ni so mpweke. Nimekuwa kwenye relationships nyingi, lakini bado sitosheki. Nikiwepo nakuwa mpweke, nikitoka nakuwa mpweke pia.

it has something to do with your thinking.
 
matokeo...

Okay
Ninachokifikiria ni Kwamba kukimbizana na economoc interests za maisha ndio chanzo kikuu, kwamba watu wako busy sana na kufukuzana na pesa na mali ambazo by design ziko concentrated in in the hands of very few people, hivyo majority hawafanikiwi katika hili, lakini kwa sababu hawaelewi tatizo ni nini hasa kwa kasumba nyingine iliyojengeka kwamba kufanya kazi ndio kila kitu basi watu wanaendelea kufanya kazi na kufanya kazi matokeo yake wanajikuta hawana muda wa kuwa na wanafamilia wao, at critical point watu wanabaini kwamba familia si chochote si lolote bila pesa, hivyo watu wanaanza kuignore ndugu jamaa na marafiki infavor of utafutaji wa pesa, hii kitu inasababisha watu wapoteze kabisa touch ya mahusiano na watu wengine na kweli with time, watu hao wanabaini fulani hana time nao,nao wanamshiti mpaka anajikuta yuko all alone, sana sana yuko na TV pamoja na simu yake.
 
Jana Jioni tumekutana Wallet Pub - Tabata na rafiki yangu wa siku nyingi sana, ana mke na watoto watatu tayari, nilipomuuliza mbona anakunywa sana siku za hivi karibuni badala ya kunijibu akaniuliza "mbona na wewe unatembelea sana JF?"

Kisha akasema wote tunasumbuliwa na Upweke tu hakuna kitu kingine, nikaipotezea hiyo story haraka sana, sasa leo baada ya kutafakari hasa ili ku-deduce uwezekano wa mimi kuwa mpweke nikajikuta na google ili kupata details za hii kitu.

Moja ya taarifa inasema, zaidi ya nusu ya population ya dunia iko lonely,Na inasemekana lonely people end up doing things or behaving in a very awkward manner.

Na ni majuzi tu dunia imevuka record ya watu bilioni saba wanaoishi right here on planet earth.

sasa what makes us lonely?

Mkuu,
Hivi upweke maana yake nini?
 
Okay
Ninachokifikiria ni Kwamba kukimbizana na economoc interests za maisha ndio chanzo kikuu, kwamba watu wako busy sana na kufukuzana na pesa na mali ambazo by design ziko concentrated in in the hands of very few people, hivyo majority hawafanikiwi katika hili, lakini kwa sababu hawaelewi tatizo ni nini hasa kwa kasumba nyingine iliyojengeka kwamba kufanya kazi ndio kila kitu basi watu wanaendelea kufanya kazi na kufanya kazi matokeo yake wanajikuta hawana muda wa kuwa na wanafamilia wao, at critical point watu wanabaini kwamba familia si chochote si lolote bila pesa, hivyo watu wanaanza kuignore ndugu jamaa na marafiki infavor of utafutaji wa pesa, hii kitu inasababisha watu wapoteze kabisa touch ya mahusiano na watu wengine na kweli with time, watu hao wanabaini fulani hana time nao,nao wanamshiti mpaka anajikuta yuko all alone, sana sana yuko na TV pamoja na simu yake.

Huwa najaribu kujiuliza kijinga;
Hivi "mafanikio" ni nini hasa?

Na hayo mafanikio ni kwaajili ya nini na wapi?

Hivi kweli mtu anaanza kuchakarika akiwa abda na miaka 27 halafu "anafanikiwa" akiwa na miaka 50,kisha anakufa
Basi!!!!!!!!!
Na akisha kufa anakuwa hana tofauti na yule aliyekuwa "chapombe" na alikuwa analala barabarani?
Kweli???????
 
Even me nipo lonely vibaya mno

uko lonely au uko single? nimeona watu wanapost hapa katika mtizamo huo? unaweza uka single (without an intimate partner) lakini usiwe lonely
 
Mkuu,
Hivi upweke maana yake nini?

Ni ile hali ya kupoteza mahusiano na watu? Yaani unakuta mtu yuko katikati ya maelefu ya watu lakini kumbe yuko mwenyewe.

Nilidhani thread hii itaelekea kwenye kuonyesha mapungufu yaliyo katika jamii yetu hasa namna ya kutengeneza mahusiano lakini naona inafail, nachofikiria ni kwamba watu wengi wanakuwa lonely sababu hawajawa trained namna ya kuishi barabara.
 
Huwa najaribu kujiuliza kijinga;
Hivi "mafanikio" ni nini hasa?

Na hayo mafanikio ni kwaajili ya nini na wapi?

Hivi kweli mtu anaanza kuchakarika akiwa abda na miaka 27 halafu "anafanikiwa" akiwa na miaka 50,kisha anakufa
Basi!!!!!!!!!
Na akisha kufa anakuwa hana tofauti na yule aliyekuwa "chapombe" na alikuwa analala barabarani?
Kweli???????

we unaposema "akifanikiwa akiwa na miaka 50" unakuwa unamaanisha mafanikio ya namna gani?
 
Some people are biologically disposed to be needy and lonely, you can try but you can't train a Zebra out of it's stripes.

When you said "it is Mental",I thought you are going to show how the mentally undeveloped ones are a victim of this than those who mentally developed (properly trained and knowledgeable of how to conduct themselves and relate with people and their environment-political,economical,cultural and physical).
 
Ni ile hali ya kupoteza mahusiano na watu?

Hili ni swali au
Hiyo question mark imenichanganya na kilichoandikwa!
Yaani unakuta mtu yuko katikati ya maelefu ya watu lakini kumbe yuko mwenyewe.

Dah!
Hivi msongo wa mawazo na hii vina tofauti?
Naona kama viko sawa hivi?

Nilidhani thread hii itaelekea kwenye kuonyesha mapungufu yaliyo katika jamii yetu hasa namna ya kutengeneza mahusiano lakini naona inafail, nachofikiria ni kwamba watu wengi wanakuwa lonely sababu hawajawa trained namna ya kuishi barabara.

Hilo linaweza kuwa jibu
Lakini malezi nadhani yanachangia sana kwenye hili!!!!
 
we unaposema "akifanikiwa akiwa na miaka 50" unakuwa unamaanisha mafanikio ya namna gani?

Nimeweka alama hii " nikimaanisha kuwa ninamashaka na tafsiri yake!

Kuna wanaodai mafanikio ni kupata pesa
Wengine ni kufanikiwa kwenda mbinguni
Wengine kuoa wanawake "wazuri"
Wengine kutawala wenzao
Wengine kupata watoto wa idadi fulani
List ni ndefu sana

Lakini hata mimi sijui hasa maana yake nini!!!!!!
 
When you said "it is Mental",I thought you are going to show how the mentally undeveloped ones are a victim of this than those who mentally developed (properly trained and knowledgeable of how to conduct themselves and relate with people and their environment-political,economical,cultural and physical).

Your conclusion is not properly derived from the given statement.

"It is mental" does not mean the mentally undeveloped one are victims, it merely asserts that the root is mental.

What makes you think I said the mentally underdeveloped are prone to be lonely and not the opposite, that the mentally developed ones are prone to be lonely?

After all, if one is super intelligent one is bound to be lonely because not many people are that intelligent and can relate to that person.

On the other hand, lower intelligences have plenty of company to relate to in this modern day idiocracy.
 
Back
Top Bottom