Upungufu wa kinga za kiroho

Upungufu wa kinga za kiroho

Wengi tunapoongelea neno KINGA tunapeleka mawazo yetu moja kwa moja kwenye mipira ya kufanyia ngono yaani kondomu.. Lakini wengine watadhani ni kinga dhidi ya maradhi ama kinga dhidi ya ajali barabarani na wezi majumbani huku wachache wakiwaza kinga dhidi ya watoto nknk... Akitokea mmoja akazungumzia kinga ya kiroho huyo itabidi umwangalie mara mbili kwakuwa si kawaida na si mazoea
Tumekuzwa kwenye kuulinda mwili, kulinda vile vinavyoonekana, tunauhudumia mwili wa nyama uwe na siha njema, sura ivutie, nywele zivutie, nguo zikubali, tunaunywesha na kuulisha mwili wa nyama uharibikao na kusahau kabisa msingi wa kinachoufanya huo mwili uhudumiao uuhudumie
Mwili dhaifu usio na kinga imara ni rahisi sana kushambuliwa na magonjwa mbalimbali, kuna watu haipiti mwezi kaugua hiki ama kile... Hawa automatically miili yao haina kinga thabiti... Ni watu wa spana mkononi kama gari bovu trip moja kazini, trip moja kwa fundi
Sasa mwili huohuo unaoweza kuwa na afya na siha njema usioshambuliwa na magonjwa ya mara kwa mara unaweza kuwa na upungufu mkubwa wa kinga za kiroho.... Pigo lolote likirushwa humpata yeye kama sio jini makhaba, basi ni zongo, kama sio zongo basi ni mapepo, kama sio mapepo basi ni chochote kibaya cha roho chafu kitampata
Mti mwenye upungufu wa kinga za kiroho mambo yake hayaendi kwenye stark, hayanyooki, hayasimami sawasawa, kama ni ajira inakuwa ngumu kupata, na akiipata hachelewi kuacha kuharibu ama kufukuzwa.. Kama ni biashara nuksi tupu, kama ni mahusiano balaa tupu, hakuna atakaloshika likakaa sawa...

Kuna vitu husababisha upungufu wa kinga za kiroho... Mungu (kwa wale waamini na waaminio) huleta duniani kiumbe kamili chenye kinga zote(usichanganye na wale watoto wa kichawi na majini) Lakini katikati ya harakati za maisha watu hupoteza ama kupunguza kinga zao kwa kwenda kwa waganga wa kienyeji, kuhangaika bila kuwa na msimamo wa kiimani, kufanyiwa mambo mabaya ma jirani ndugu ama rafiki
Habari za kusafishwa nyota ama kupewa Pete za bahati ni vitu vibaya kabisa kiroho..
Habari za kuhangaika kwa waganga wa kienyeji ni kuzidi kujichafua kiroho na kujiharibia kabisa.. Yani mwili wako unakuwa kama punching bag, kila mtu anajaribu hapo
Kutangatanga kiimani, mara huku mara kule unahangaisha bure roho yako na kuichosha sana mwisho inakuwa dhaifu kabisa
Jijengee msingi imara wa kinga ya kiroho kwa kubaki na imani moja bila kujali unaamini katika nini....
Pambana na hali yako kwa njia chanya... Kila mmoja wetu ana changamoto nyingi sana za maisha... Epuka nguvu hasi yoyote kwa manufaa binafsi. Unajiharibia...
Epuka epuka epuka kujihusisha na mambo ya giza huko huendi kutengeneza bali kujimaliza.... Unafuu wake ni wa muda mfupi sana.....
Wengi wanaohagaika leo wenye upungufu wa kinga za kiroho angalia historia zao wengi wamepitia hayo hapo juu...... Simama na Mungu wako ujenge kinga imara ya kiroho....
Nilikuwa mpinzani wako mkubwa kipindi kile unakuja na mada zako za kufundisha uchawi, ila sasa naona nikuunge mkono kwa hoja zako maridadi kama hizi.
Hongera sana kwa kazi nzuri
 
Nieleweshe juu ya hili. Nimewahi soma sehemu zamani lakini, kwamba kufanya mapenzi na wanaume ama wanawake tofauti tofauti pia huleta udhaifu wa kinga ya kiroho, maana wengine wamejawa na negative energies ambazo mki kwichiiikwichii anakuachia matokeo yake sasa mibalaa mikosi haikuishii.
 
Pia unaweza ukawa mtu wa bahati mambo yakanyooka hii inategemea na huyoo ulielala nae ana energies gani..l
 
f8dd4f9e095c981554b68853f46f309a.jpg
4375c96affa52e85c81a5126f92505be.jpg
 
Nieleweshe juu ya hili. Nimewahi soma sehemu zamani lakini, kwamba kufanya mapenzi na wanaume ama wanawake tofauti tofauti pia huleta udhaifu wa kinga ya kiroho, maana wengine wamejawa na negative energies ambazo mki kwichiiikwichii anakuachia matokeo yake sasa mibalaa mikosi haikuishii.
Ni kweli kabisa na hata mada yake iko hapa jamvini ngoja nikaisake
 
Pia unaweza ukawa mtu wa bahati mambo yakanyooka hii inategemea na huyoo ulielala nae ana energies gani..l
Sahihi ndio maana kuna wengine huanguka baada ya ndoa
 
Kwa mara ya kwanza umeandika vema . Kumbe upo kama mtu vile. Ok umekosa kuweka maneno machache tu muhimu sana.

Jina la Yesu.
Damu ya Yesu

Mchana huvijui hivi nikuelekeze? Vipi wewe!
Nadhani anaepuka ile dhana ya wale walioketi mahali pa mjinga, waliofungiwa nira ya udini. Ila jambo lolote la ukweli lipo wazi kwa yeyote aliye funuliwa kuujua ukweli.

Kwa mfano ukisema "mpende jirani yako", ni sawa tu na kusema "usiuwe", kwa mwelewa haimpi shida kuelewa tafsiri halisi.
 
Kichafu hakiwezi kuchafuka tena hao ndio mawakala wa giza wanaopigana dhidi ya nuru.... Usiwape nafasi
Jamaa unajibu kwa ufahamu sana hahaha, hili ni fumbo sana aisee, basi mimi nakuelewa vizuri sana. Tuendelee kupeana elimu.
 
Sema nimeandika kilichokugusa! Kuna mwingine kaona nimeandika pumba!!! Iko hivyo siku zote... Huwezi kuzuia mitazamo na tafsiri za wengine dhidi ya kile ulichoandika...
Zaidi sikuweka hayo maneno kwakuwa sikutaka mada hii ielemee kwenye mambo ya kidini tena imani ya upande mmoja .. Ningefanya hivyo mada hii ingepelekwa jukwaa la dini ambalo ni wachache tu wanaruhusiwa kuingia huko
Aisee kumbe hata kabla sijaifikia hii post tayari nilishatoa jibu sawa na hili. Vizuri sana mwalimu.
 
Wengi tunapoongelea neno KINGA tunapeleka mawazo yetu moja kwa moja kwenye mipira ya kufanyia ngono yaani kondomu.. Lakini wengine watadhani ni kinga dhidi ya maradhi ama kinga dhidi ya ajali barabarani na wezi majumbani huku wachache wakiwaza kinga dhidi ya watoto nknk... Akitokea mmoja akazungumzia kinga ya kiroho huyo itabidi umwangalie mara mbili kwakuwa si kawaida na si mazoea
Tumekuzwa kwenye kuulinda mwili, kulinda vile vinavyoonekana, tunauhudumia mwili wa nyama uwe na siha njema, sura ivutie, nywele zivutie, nguo zikubali, tunaunywesha na kuulisha mwili wa nyama uharibikao na kusahau kabisa msingi wa kinachoufanya huo mwili uhudumiao uuhudumie
Mwili dhaifu usio na kinga imara ni rahisi sana kushambuliwa na magonjwa mbalimbali, kuna watu haipiti mwezi kaugua hiki ama kile... Hawa automatically miili yao haina kinga thabiti... Ni watu wa spana mkononi kama gari bovu trip moja kazini, trip moja kwa fundi
Sasa mwili huohuo unaoweza kuwa na afya na siha njema usioshambuliwa na magonjwa ya mara kwa mara unaweza kuwa na upungufu mkubwa wa kinga za kiroho.... Pigo lolote likirushwa humpata yeye kama sio jini makhaba, basi ni zongo, kama sio zongo basi ni mapepo, kama sio mapepo basi ni chochote kibaya cha roho chafu kitampata
Mti mwenye upungufu wa kinga za kiroho mambo yake hayaendi kwenye stark, hayanyooki, hayasimami sawasawa, kama ni ajira inakuwa ngumu kupata, na akiipata hachelewi kuacha kuharibu ama kufukuzwa.. Kama ni biashara nuksi tupu, kama ni mahusiano balaa tupu, hakuna atakaloshika likakaa sawa...

Kuna vitu husababisha upungufu wa kinga za kiroho... Mungu (kwa wale waamini na waaminio) huleta duniani kiumbe kamili chenye kinga zote(usichanganye na wale watoto wa kichawi na majini) Lakini katikati ya harakati za maisha watu hupoteza ama kupunguza kinga zao kwa kwenda kwa waganga wa kienyeji, kuhangaika bila kuwa na msimamo wa kiimani, kufanyiwa mambo mabaya ma jirani ndugu ama rafiki
Habari za kusafishwa nyota ama kupewa Pete za bahati ni vitu vibaya kabisa kiroho..
Habari za kuhangaika kwa waganga wa kienyeji ni kuzidi kujichafua kiroho na kujiharibia kabisa.. Yani mwili wako unakuwa kama punching bag, kila mtu anajaribu hapo
Kutangatanga kiimani, mara huku mara kule unahangaisha bure roho yako na kuichosha sana mwisho inakuwa dhaifu kabisa
Jijengee msingi imara wa kinga ya kiroho kwa kubaki na imani moja bila kujali unaamini katika nini....
Pambana na hali yako kwa njia chanya... Kila mmoja wetu ana changamoto nyingi sana za maisha... Epuka nguvu hasi yoyote kwa manufaa binafsi. Unajiharibia...
Epuka epuka epuka kujihusisha na mambo ya giza huko huendi kutengeneza bali kujimaliza.... Unafuu wake ni wa muda mfupi sana.....
Wengi wanaohagaika leo wenye upungufu wa kinga za kiroho angalia historia zao wengi wamepitia hayo hapo juu...... Simama na Mungu wako ujenge kinga imara ya kiroho....
UKIKI

hahahaaaaa!
 
Mkuu asante sana kwa ushauri ila ujue hapa duniani majaribu ni mengi sana, tunahitaji pesa tena za kutosha sasa kazi ipo tunajaribiwa mno ebu nipe mbinu hata kama ni inbox nijue nafanyaje hapa kuanzia hatua ya kwanza ya kutafuta hadi kuendelea kwua imara
 
Aisee , mshana Jr, I feel proud once I see your profile picture , you are blessed since you were escaping the womb , ivi mshara ulizaliwa wakati gani?
 
Kwa mara ya kwanza umeongea maneno ya maana sana.
Ubarikiwe maana umeguswa na roho mwema kueneza Neno lake lililo jema.
 
Kwa mara ya kwanza umeongea maneno ya maana sana.
Ubarikiwe maana umeguswa na roho mwema kueneza yake yaliyo mema.
hizi kwa mara ya kwanza nimeandika kitu cha maana.... Nimeshakutana nazo sana kwenye mada zangu... Asante
Sikuumbiwa kinyongo Kwahiyo hata pale mnapojenga chuki dhidi ya post zangu najua sio nyie bali ni yule Lucifer anayewaendesha kufanya hivyo... Thanks all the way kiroho safi kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom