Upungufu wa kinga za kiroho

Upungufu wa kinga za kiroho

Sara safi sana unakaribia kuvunja nira za kimapokeo na mazoea kwamba hivi nikiandika hivi nitaonekanaje na imani yangu hii
Mfano wa wazi kabisa ni mimi mwenyewe, niliingia JF kupitia MMU tukawa tunapiga soga sana kule baadae CC na picha.. Sasa nikawa nataka kuandika hizi mambo lakini nikawa naogopa kweli
Nilipoamua kuvunja nira za mazoea ma kuanza kuandika nilipata upinzani mkali sana
Mh maana mtu anaweza kukushushia mvua ya mitusi, badala ya kujibu eye anaonaje, thanks Mshana
 
Somo zuri sana sasa kama umegunduwa Kinga imepungua ufanye nini ili urudi katika hali uliyokuwa nayo
 
Mwanzoni nilikuwa naghadhibika na kujibishana nao, lakini nikaja kugundua kumbe hawajui kitu kabisa nikajitenga nao
 
Somo zuri sana sasa kama umegunduwa Kinga imepungua ufanye nini ili urudi katika hali uliyokuwa nayo
Inabidi kupitia kipindi cha mpito na kujitenga na mambohasi yote huku ukijitakasa kwa kutumia chumvi... Mind you kipindi cha mpito kina changamoto zake kwakuwa ni kipindi cha kujivua kiza na kujivika nuru
 
Nimekupata mkuu kama nikupigwaa nimepigwa haswa sasa mkuu nielekeze hii chumvi nitumie vipi
 
Inabidi kupitia kipindi cha mpito na kujitenga na mambohasi yote huku ukijitakasa kwa kutumia chumvi... Mind you kipindi cha mpito kina changamoto zake kwakuwa ni kipindi cha kujivua kiza na kujivika nuru
mshana siku zote huwa nakuelewa sana nyuzi zako, swali langu ni hivi zile kazi zako/tetesi za kuwa wewe ni mganga wa jadi ni kweli?? naomba nijibu
View attachment 614984sometimes mtu akisema haamini katika uchawi na ushirikina namuelewa sana kwakuwa hajawahi kufanya michanganyo hivyo kinga yake ni imara na wala haandamwi na roho hasi zozote
 
mshana siku zote huwa nakuelewa sana nyuzi zako, swali langu ni hivi zile kazi zako/tetesi za kuwa wewe ni mganga wa jadi ni kweli?? naomba nijibu
Nakuapia kwa jina la Mwenyezi Mungu aliye hai sijawahi kushika hata tunguli kwa ajili ya kuagua
 
basi hadi leo ndugu yangu huwa najua wewe ni witch doctor tena fundi kweli kweli!
niliowahi kukutana nao ni mashuhuda wangu mimi ni mkristo mshika dini, nisiyejihusisha kabisa na mambo ya giza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom