Upotoshaji wa ITV kwenye taarifa ya habari ni kwa maslahi ya nani?

Yaleyale

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
1,587
2,000
Juzi siku ya Jumatatu tarehe 19 kwenye taarifa ya habari ya saa 2 usiku. Kituo cha ITV kiliripoti kuwa mabasi ya mikoani yamedoda kituo kikuu cha mabasi Ubungo kwa kukosa abiria ya kwenda Mikoani. Mwandishi Ufoo Saro ndiyo alikuwa ripota wa habari ile kama sijakosea.

Jana Jummane tarehe 20 nimekwenda Ubungo Stand kukata tiketi ya safari yangu, cha ajabu nikakuta magari yameshabukiwa na hakuna nafasi kwa safari niliyokuwa nayo ya Moshi. Hali iliyowalazimu Sumatra kuwapa kibali baadhi za daladala za Ubungo- Kibamba kupeleka abiria Mikoani. Nikabaki najiuliza kama hakuna abiria hizi daladala waliopewa kibali kwenda Mikoani za nini?

ITV ni moja ya kituo kizuri sana hapa nchini hivyo inategemewa kuwa na uweledi katika kufanya kazi zake. Upotoshaji huu ni kwa maslahi ya nani?
 
Nktlogistics

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
2,155
2,000
Gari zinajaa hadi buti ila Siku hazifanani, Labda siku aliyoenda ilikuwa sio rafiki basi kajumlisha.
 
BAFA

JF-Expert Member
Jul 19, 2011
3,071
2,000
Hivi ww acha kutufanya wehu yaan ufo akenda mpaka ubungo stand kuongea na wenye mabus kwa ushahid wa camera ww uko nyuma ya keabord ushahid wa picha pia hauna unaleta ngonjera
 
amygdala

JF-Expert Member
Jul 11, 2016
1,080
2,000
Juzi siku ya Jumatatu tarehe 19 kwenye taarifa ya habari
ITV ni moja ya kituo kizuri sana hapa nchini hivyo inategemewa kuwa na uweledi katika kufanya kazi zake. Upotoshaji huu ni kwa maslahi ya nani?
wabongo bhana yaan ww umeona cku hio tar 20 ukakuta magari yameadimika tayari umeshaconclude na kuwatuhuum wanahabari kuwa ni waongo...........we unajua wenzako wameanza fuatilia hio hali tangu lin??? yaan hata wenye mabas walihojiwa wakaongea ila ww nawe unakuja na stori yako ili tu kutuaminisha tofauti duh aisee!!!!
 
Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
15,140
2,000
Una yako wewe sio bure. Mbona taarifa ilionesha picha ya video mabasi kweli yamepaki na hata mahojiano tumeona...wewe mawe weka picha tuamini.

Maisha ni magumu, umetumwa nini?
 
Africa one

JF-Expert Member
May 6, 2013
242
250
Juzi siku ya Jumatatu tarehe 19 kwenye taarifa ya habari ya saa 2 usiku. Kituo cha ITV kiliripoti kuwa mabasi ya mikoani yamedoda kituo kikuu cha mabasi Ubungo kwa kukosa abiria ya kwenda Mikoani. Mwandishi Ufoo Saro ndiyo alikuwa ripota wa habari ile kama sijakosea.

Jana Jummane tarehe 20 nimekwenda Ubungo Stand kukata tiketi ya safari yangu, cha ajabu nikakuta magari yameshabukiwa na hakuna nafasi kwa safari niliyokuwa nayo ya Moshi. Hali iliyowalazimu Sumatra kuwapa kibali baadhi za daladala za Ubungo- Kibamba kupeleka abiria Mikoani. Nikabaki najiuliza kama hakuna abiria hizi daladala waliopewa kibali kwenda Mikoani za nini?

ITV ni moja ya kituo kizuri sana hapa nchini hivyo inategemewa kuwa na uweledi katika kufanya kazi zake. Upotoshaji huu ni kwa maslahi ya nani?
Ndugu pengine ndio ile kusema una utapiamlo wa kufikiri, upepo wa biashara unaweza badilika kwa mda mfupi sana, sasa toka J3 hadi leo unategemea upate matokeo yale yale kwenye biashara?
Sema labda ulikusudia hicho ulichokiandika tu hata kama ungekuta imeshuka zaidi ungeandika tu.
Na sijui wewe unaandika kwa masilahi ya nani!?
 
Mashimba Son

Verified Member
Dec 22, 2014
921
1,000
Wanafuata mkumbo tu na maneno Ya mtandaoni Kuwa hali mbaya Lakini si uhalisia..
Mimi mwenyewe jumanne ambayo ni Jana siku moja baada Ya taarifa hiyo nimeenda ubungo kumkatia tiketi Dada yangu Ya kwenda Mwanza cha ajabu naambiwa nafasi zimejaa hadi jumamosi au Nisubiri watanipa taarifa Kama Sumatra wataruhusu kuondoka gari la tatu siku Ya alhamisi tena basi zenyewe luxury za 45...!!
 
emie emie

JF-Expert Member
Feb 25, 2016
713
500
Juzi siku ya Jumatatu tarehe 19 kwenye taarifa ya habari ya saa 2 usiku. Kituo cha ITV kiliripoti kuwa mabasi ya mikoani yamedoda kituo kikuu cha mabasi Ubungo kwa kukosa abiria ya kwenda Mikoani. Mwandishi Ufoo Saro ndiyo alikuwa ripota wa habari ile kama sijakosea.

Jana Jummane tarehe 20 nimekwenda Ubungo Stand kukata tiketi ya safari yangu, cha ajabu nikakuta magari yameshabukiwa na hakuna nafasi kwa safari niliyokuwa nayo ya Moshi. Hali iliyowalazimu Sumatra kuwapa kibali baadhi za daladala za Ubungo- Kibamba kupeleka abiria Mikoani. Nikabaki najiuliza kama hakuna abiria hizi daladala waliopewa kibali kwenda Mikoani za nini?

ITV ni moja ya kituo kizuri sana hapa nchini hivyo inategemewa kuwa na uweledi katika kufanya kazi zake. Upotoshaji huu ni kwa maslahi ya nani?

Siku hutofautiana....ndio maana ukisema kuna foleni jumatatu, ukienda jumanne usipokuta foleni DAR haimaanisha kuwa hakunaga foleni.

Siku hile na siku za nyuma mabasi yalikuwa mengi sana ya kwenda moshi hayajai, ndio maana hata wale wabeba mizigo wa ubungo waliongea walipohojiwa kuwa kwa kipindi hiki hawana mizigo sababu idadi ya watu imepungua kusafiri....

Yaelekea watu wameanza kusafiri hizi siku za usoni...
 
Mbulu

JF-Expert Member
Apr 15, 2015
5,499
2,000
Ungeenda siku hiyo hiyo ila umeenda baada ya hiyo siku jombaa
 
Sam next

Senior Member
Sep 25, 2016
120
250
Juzi siku ya Jumatatu tarehe 19 kwenye taarifa ya habari ya saa 2 usiku. Kituo cha ITV kiliripoti kuwa mabasi ya mikoani yamedoda kituo kikuu cha mabasi Ubungo kwa kukosa abiria ya kwenda Mikoani. Mwandishi Ufoo Saro ndiyo alikuwa ripota wa habari ile kama sijakosea.

Jana Jummane tarehe 20 nimekwenda Ubungo Stand kukata tiketi ya safari yangu, cha ajabu nikakuta magari yameshabukiwa na hakuna nafasi kwa safari niliyokuwa nayo ya Moshi. Hali iliyowalazimu Sumatra kuwapa kibali baadhi za daladala za Ubungo- Kibamba kupeleka abiria Mikoani. Nikabaki najiuliza kama hakuna abiria hizi daladala waliopewa kibali kwenda Mikoani za nini?

ITV ni moja ya kituo kizuri sana hapa nchini hivyo inategemewa kuwa na uweledi katika kufanya kazi zake. Upotoshaji huu ni kwa maslahi ya nani?
Wewe unatokwa mapovu kwa faida ya nani
 
Tempus Fugit

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
382
1,000
Wanafuata mkumbo tu na maneno Ya mtandaoni Kuwa hali mbaya Lakini si uhalisia..
Mimi mwenyewe jumanne ambayo ni Jana siku moja baada Ya taarifa hiyo nimeenda ubungo kumkatia tiketi Dada yangu Ya kwenda Mwanza cha ajabu naambiwa nafasi zimejaa hadi jumamosi au Nisubiri watanipa taarifa Kama Sumatra wataruhusu kuondoka gari la tatu siku Ya alhamisi tena basi zenyewe luxury za 45...!!

Naungana nawe mkuu. Binafsi nilifika Ubungo tarehe 19 kwenda kukata tiketi....Magari karibu yote ya njia ya Mwanza na Kahama yalikuwa yamejaa hadi siku 3 au 4 mbele. Gari nililopata ni lile ambalo lilipewa kibali temporary kupeleka abiria Mwanza. Mengine yote yalikuwa yamejaa.
 
Yaleyale

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
1,587
2,000
Una yako wewe sio bure. Mbona taarifa ilionesha picha ya video mabasi kweli yamepaki na hata mahojiano tumeona...wewe mawe weka picha tuamini.

Maisha ni magumu, umetumwa nini?
Mkuu sina video lakini kwa waliofuatilia taarifa ya habari ya Azam TV jana usiku, siku moja baada ya taarifa ya habari ya ITV unaweza kuelewa ninachosema.
 
Yaleyale

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
1,587
2,000
M
Siku hutofautiana....ndio maana ukisema kuna foleni jumatatu, ukienda jumanne usipokuta foleni DAR haimaanisha kuwa hakunaga foleni.

Siku hile na siku za nyuma mabasi yalikuwa mengi sana ya kwenda moshi hayajai, ndio maana hata wale wabeba mizigo wa ubungo waliongea walipohojiwa kuwa kwa kipindi hiki hawana mizigo sababu idadi ya watu imepungua kusafiri....

Yaelekea watu wameanza kusafiri hizi siku za usoni...
Mkuu uko sahihi siku haifanani. Lakini inawezekanaje siku moja baada ya taarifa ya ITV ya magari kudoda Sumatra watoe vibali ya daladala kupeleka abiria mikoani? Ina maana wale wenye daladala waliomba kibali kwenda mikoani wamepeleka daladala zikadode UBT?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom