Juzi siku ya Jumatatu tarehe 19 kwenye taarifa ya habari ya saa 2 usiku. Kituo cha ITV kiliripoti kuwa mabasi ya mikoani yamedoda kituo kikuu cha mabasi Ubungo kwa kukosa abiria ya kwenda Mikoani. Mwandishi Ufoo Saro ndiyo alikuwa ripota wa habari ile kama sijakosea.
Jana Jummane tarehe 20 nimekwenda Ubungo Stand kukata tiketi ya safari yangu, cha ajabu nikakuta magari yameshabukiwa na hakuna nafasi kwa safari niliyokuwa nayo ya Moshi. Hali iliyowalazimu Sumatra kuwapa kibali baadhi za daladala za Ubungo- Kibamba kupeleka abiria Mikoani. Nikabaki najiuliza kama hakuna abiria hizi daladala waliopewa kibali kwenda Mikoani za nini?
ITV ni moja ya kituo kizuri sana hapa nchini hivyo inategemewa kuwa na uweledi katika kufanya kazi zake. Upotoshaji huu ni kwa maslahi ya nani?