Upotoshaji : "Serikali ya Magufuli" badala ya "Serikali ya JMT"

Upotoshaji : "Serikali ya Magufuli" badala ya "Serikali ya JMT"

Tusibadilishe mada, mada inahoji matumizi ya 'phrase' Serikali ya Magufuli. Mimi nasema ipo sahihi kwa kuwa hata nchi nyingine kama US hutumia hivyo na mfano ni Obama Administration. Wewe unakataa unasema Obama Administation si sawa na serikali ya Obama kwani Obama Administration maana yake ni utawala wa Obama. Mimi nakuambia kwa muktadha wa US Obama Administration maana yake ni Serikali ya Obama na nikakupa maana mojawapo ya Administration kutoka katika Merriam Webster Dictionary ni kuwa ni government, unaweza uka iggogle. Uzuri dictionary imekupa mfano wa mahali ambapo hutumika hivyo. Usilete red herring hapa, utawala wa Magufuli sio ishu yetu. Kama ugonjwa huu dawa imeshaingia leta ugonjwa mwingine lakini kwanza kubali umepona. Kama bado fanya 'arguement' usilete ishu mpya
Kumbe unatumia muktadha wa tafsiri ya neno hilo Marekani? Hata tupe na muktadha wa maana halisi ya Serikali ya Magufuli na Utawala wa Magufuli?
 
Kumbe unatumia muktadha wa tafsiri ya neno hilo Marekani? Hata tupe na muktadha wa maana halisi ya Serikali ya Magufuli na Utawala wa Magufuli?

Mimi binafsi sijawahi kusikia utawala wa Magufuli kwa hiyo sina muktadha wowote wa matumizi ya hiyo 'phrase'
 
Majina ya namna hii hayatumiki kwenye matamko au taarifa rasmi ya serikali ama viongozi wa juu wa serikali ya Marekani. Utayakuta zaidi kwenye taarifa vyombo vya habari.
si wanasema 'my government' au hujawasikia weye???!!!! nini maana ya neno 'my'...
unaweza kutumia jina lako badala ya my kama mbwembwe....Juma attended primary school...(wakati wewe ndio juma mwenyewe) unatumia passive voice
 
Wewe nyumba kubwa waweza kusema serikali yangu ukiwa RAIA wa kawaida au kiongozi. Lakini hawezi kiongozi mwingine akatoa maagizo akasema haya ni maagizo ya serikali ya nyumba kubwa hata kana wewe ni kiongozi unayependwa.
Hilo tamko sio sahihi
 
Limekuwa jambo la kawaida na mazoea kumsikia Mh. Rais wa JMT akitamka "Serikali ya Magufuli!" Hii kauli inakera kama siyo kuudhi! Hivi hatuoni kama wananchi tunanyang'anywa haki yetu ya umilki wa "Serikali ya JMT?" Rais wetu ashauriwe aache kutudhulumu haki yetu, basi kama hana washauri hili jukumu tumkabidhi mama Rais amsihi sana Mzee wake atengue kauli! Mbona hatukuwahi kumsikia mwalimu JKN akijinasibu kwenye mikutano yake kwamba Serikali ya Nyerere? Nafungulia mlango whuuu hwu hwu za ccm zikiongozwa na jingalao, Barbarosa, Rutashobolwa, Simiyu yetu, Stroke n.k
 
Tatizo liko wapi, kwani alieunda serikali ya JMT ni nani. Si ni yeye. Sasa kwanini asiseme serikali yake.
 
Mbona hii ipo katika m nchi yote
Utasikia Obama administration
Maanake serikali ya Obama
Serikali ya alhasad
Serikali ya gaddafi

Rais ndio kila kitu yeye ndio alama ya dola
 
Labda kama hujui maana ya serikali!
kaka ilipokuwa serikali ya wananchi kama unavyo dai ktk tawala zilizopita

mwinyi
mkapa
kikwete

kuna kitu chulochote ulifaidika nacho ambacho hukipati kwa sasa?
 
Vitu vingine labda ukiwa na upungufu wa akili ndio vitakusumbua maana kwa akili za kawaida huwezi kufikiria eti kwa kuwa rais akiitaja serikali anayoiongoza kama serikali yake ukafikiri anamaanisha ni yake kama anavyomiliki nyumba yake au shamba lake,huo ni ujinga na umbumbumbu
 
Mie naona hilo sio tatizo nchi nyingi use a hivyo hata mawaziri nao usikia wakisema wizara yangu, ai hata wewe Mpaka sasa unasema ile ni Shule Yangu au chuo changu nk. Sema neno lenye ukakasi ni lile la Nitalalanao mbele.naona angeshauriwa aache kulitumia kwa maana limepitwa na wakati.
 
Sasa hivi viongozi wa serikali kuanzia mawaziri kuja chini wamejenga tabia ya kutoa maagizo huku wakitumia kauli kuwa serikali ya Magufuli inaagiza hili au lile na haitaki hili au lile.

Huu ni upotoshaji, hakuna serikali ya Magufuli popote hapa duniani zaidi ya nyumbani kwake, iliyopo ni ya Wananchi wa JMT inayoongozwa na Magufuli kama Rais aliyepewa ajira hiyo na masharti ya jinsi ya kufanya kazi na hao wananchi.

Huu mtindo wa kazi na maamuzi ya kidola haiwezekani kubinafsisha kwa mtu hali ambayo inamfanya hata akili yake ijijenge kuwa serikali hii ni mali "yangu".

Waziri akisimama kuzungumzia umeme anasema serikali ya Magufuli imeamua hivi, wakati huo ni mpango wa kitaifa. Na mikoani RC akishughulikia kisina atasema hivyohivyo wakati visima hivyovya serikali hata Magufuli havijui.

Hatari ya tabia hii itafikia hata Polisi wakizuia maandamano au fujo kujikuta wakitoa amri "Serikali ya Magufuli inatoa watu wote watawanyike mara moja kwa amani la sivyo ...."

Viongozi warudi kwenye matari, tunayo SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO TANZANIA pekee.
Chakazwaaaa...hadi hii miaka mitano iishe utakuwa umechakaaaa!!!!!yote haya mnayoteka nayo ni sababu akili mmemkabidhi DJ na ninyi kuwa misukule.
 
Chakazwaaaa...hadi hii miaka mitano iishe utakuwa umechakaaaa!!!!!yote haya mnayoteka nayo ni sababu akili mmemkabidhi DJ na ninyi kuwa misukule.
Ukisha dadavuliwa na kuamka na uchovu ni vema vaa kanga kaoge kisha baada ya breakfast ndio ingia JF usome na kuchangia Dada yangu. Hapo kichwa chaweza kufikiri vyema
 
Sasa hivi viongozi wa serikali kuanzia mawaziri kuja chini wamejenga tabia ya kutoa maagizo huku wakitumia kauli kuwa serikali ya Magufuli inaagiza hili au lile na haitaki hili au lile.

Huu ni upotoshaji, hakuna serikali ya Magufuli popote hapa duniani zaidi ya nyumbani kwake, iliyopo ni ya Wananchi wa JMT inayoongozwa na Magufuli kama Rais aliyepewa ajira hiyo na masharti ya jinsi ya kufanya kazi na hao wananchi.

Huu mtindo wa kazi na maamuzi ya kidola haiwezekani kubinafsisha kwa mtu hali ambayo inamfanya hata akili yake ijijenge kuwa serikali hii ni mali "yangu".

Waziri akisimama kuzungumzia umeme anasema serikali ya Magufuli imeamua hivi, wakati huo ni mpango wa kitaifa. Na mikoani RC akishughulikia kisina atasema hivyohivyo wakati visima hivyovya serikali hata Magufuli havijui.

Hatari ya tabia hii itafikia hata Polisi wakizuia maandamano au fujo kujikuta wakitoa amri "Serikali ya Magufuli inatoa watu wote watawanyike mara moja kwa amani la sivyo ...."

Viongozi warudi kwenye matari, tunayo SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO TANZANIA pekee.

Hakuna hatari iliyonipa kufikiria upya maana ya maisha na kuitwa binadamu zaidi ya niliposikia

".....watajidai kukimbilia mahakamani. Wanasahau kwamba Mahakama zote ni za serikali, na serikali ni ya Magufuli..".
​
Na bado watu na akili zao tena wanawatoto wakaendelea kupiga makofi na kushangilia. Ukwlei siku hiyo nilikaa peke yangu kwenye kichuguu kwa muda nikitafakari dunia hii ni kitu gani kwa binadamu na binadamu ni nini.

Wewe hukusikia? Siku njema.
 
Ukisha dadavuliwa na kuamka na uchovu ni vema vaa kanga kaoge kisha baada ya breakfast ndio ingia JF usome na kuchangia Dada yangu. Hapo kichwa chaweza kufikiri vyema
kaka,usichoke kukosoa:nimegundua kadri tunavyo wakosoa ndivyo tunavyo zidi kuwa bana kwenye kona,na tukiwa bana konani ndivyo wanavyo zidi kupaniki na kureact kwa kufanya mambo kwa mihemuko!na mihemuko hii ndiyo imewafanya mpaka sasa wafanya blunder na makosa mengi ya kijuha!
Na kwa kuwa hawa kuwa na nia ya dhati ya kuwasaidia wananchi,hata reactiöns zao zinakuwa za hasira na chuki na wala hawazi tafakari kabla ya kuzitenda!mkuu,we ni shaidi mpaka sasa wamesha shindwa mengi:bei ya ada elekezi,bei ya sukari,50m za kila kijiji,raisi kuhaidi kuonyesha salary slips zake akitoka chato,kugawa bure sukari ya wahujumu eti uchumi...mkuu,hakuna kulegeza uzi...ni bumper to bumper!wamekata izo sukari "zilizo fichwa" mbona bei haishuki?
 
Back
Top Bottom