Upotoshaji : "Serikali ya Magufuli" badala ya "Serikali ya JMT"

Bush, Clinton administration???!!!

Natofautiana na wewe. Bush administration ni utawala wa Bush na sio serikali ya Bush. Sidhani kama mleta mada ana tatizo kuita Utawala wa Magufuli hoja yake ni iitwe Serikali ya Tanzania na sio vinginevyo. Mfano wako ni irrelevant.
 
Unaelewa maana ya adminstration? SERIKALI YA MAGUFULI si sawa na UTAWALA WA MAGUFULI

Translation ni fani watu wanaingia darasani kusomea mzee sio tu kirahisi rahisi namna hii. Nitafsirie Tanzania's state house!
 
Naona unataka kutoka kwenye mada sasa, unamaanisha kua mimi nimekosea kutafsiri au sikuingia darasani kusomea tafsiri? au maana yako nini sasa!
 
Natofautiana na wewe. Bush administration ni utawala wa Bush na sio serikali ya Bush. Sidhani kama mleta mada ana tatizo kuita Utawala wa Magufuli hoja yake ni iitwe Serikali ya Tanzania na sio vinginevyo. Mfano wako ni irrelevant.

Usiseme tumfano wake ni irrelevant, jiongeze kidogo, tafuta documents soma. Direct translation yako utafika sehemu utakwama. labda utuambie kwani nini neno administration wewe umetafsiri kama utawala? Je nikweli halina maana nyingine zaidi ya utawala katika muktadha kadha wa kadha?
 
Maana yangu ni kuwa adminstration haina maana moja na pia translation inategemea context, kwa context ya us administration ni government na si hivi ulivyotaka wewe kutuaminisha na hapa kwenye red kuna maana hiyo. Tafsiri yako uliyotupa ni mufilisi!

Definition of administration in English:
Top 1000 frequently used words
Pronunciation: /ədmɪnɪˈstreɪʃ(ə)n/
NOUN

1[MASS NOUN] The process or activity of running a business, organization, etc.the day-to-day administration of the companya career in arts administration
More example sentences Synonyms

1.1(the administration) The people responsible for running a business, organization, etc.the university administration took their demands seriously
More example sentences

1.2Law The management and disposition of the property of a deceased person, debtor, or insolvent company, by a legally appointed administrator:
the company went into administration

More example sentences

2[MASS NOUN] The management of public affairs; government:

the inhabitants of the island voted to remain under French administration

More example sentencesSynonyms

2.1[COUNT NOUN] The government in power:

successive Conservative administrations enjoyed a comfortable majority

More example sentences
  • During the Cold War, successive administrations pursued a policy of ‘containment’ against the Soviet Union.
  • It will continue regardless of whether we have Republican or Democratic administrations in power.
  • Successive governments and Paris municipal administrations have allowed the situation to worsen.
 
Inategemea unaitumia wapi na utaitumia iwapo tafsiri iliyowazi imekosekana, unawezaje kutoweka administration kama utawala ukazunguka kuiweka kama maana nyingine kwenye mada tunayoijadili kwa sasa?

mfano: unawezaje kutomwita mtoto wa kiume wa miaka 10 " boy" ukamwita " man"?
 
The Obama administration..!!!
Siku zote serikali ni ya rais husika na uongozwa kwa dira na ilani ya chama kilichomuingiza madarakani

Shida moja elimu elimu.

Hivi Obama admnistration ni sawa na Magufulu government.

Admnistration = utawala, uonngozi
Government = serikali
 
Ningeshangaa sana kama ungelielewa! Mimi nimeanza kufungua milango yako ya fahamu, naamini watakuja watu kukuelewesha zaidi. Kama hata hili ulikuwa hujui bora ungeleta huu uzi katika mfumo wa swali (kuwapa benefit of doubt ya wanaolitumia). Mfano Kuita serikali yetu serikalia ya MAGUFULI badala ya serikali ya JMT sio upotoshaji? Naamini ungepata jibu muafaka. Kuongezea tu na kukupanua vizuri, je umewahi kusikia serikali ya Dar e salaam? Ikulu ya Nairobi? Ikulu ya White House?
Kama unadhani unanichanganya mie basi ni bahati sana, hapa wewe ndio unajichanganya. Na nadhani hujajua tofauti ya MAGUFULI GOVERNMENT na MAGUFULI ADMINISTRATION.
Hilo la pili hakuna mwenye shida nalo liko duniani kote. Jee hilo la kwanza umewahi kulisikia wapi? Hapo akiamua kuweka hata picha yake kwenye bendera nani atamhoji?
 
Maana yangu ni kuwa adminstration haina maana moja na pia translation inategemea context, kwa context ya us administration ni government na si hivi ulivyotaka wewe kutuaminisha na hapa kwenye red kuna maana hiyo. Tafsiri yako uliyotupa ni mufilisi!

Definition of administration in English:
Top 1000 frequently used words
Pronunciation: /ədmɪnɪˈstreɪʃ(ə)n/
NOUN

1[MASS NOUN] The process or activity of running a business, organization, etc.the day-to-day administration of the companya career in arts administration
More example sentences Synonyms

1.1(the administration) The people responsible for running a business, organization, etc.the university administration took their demands seriously
More example sentences

1.2Law The management and disposition of the property of a deceased person, debtor, or insolvent company, by a legally appointed administrator:
the company went into administration

More example sentences

2[MASS NOUN] The management of public affairs; government:

the inhabitants of the island voted to remain under French administration

More example sentencesSynonyms

2.1[COUNT NOUN] The government in power:

successive Conservative administrations enjoyed a comfortable majority

More example sentences
  • During the Cold War, successive administrations pursued a policy of ‘containment’ against the Soviet Union.
  • It will continue regardless of whether we have Republican or Democratic administrations in power.
  • Successive governments and Paris municipal administrations have allowed the situation to worsen.

Mbona unajichanganya sasa, ninachosema "utawala wa Magufuli ni nini kwa kiingereza" na serikali ya Magufuli ni nini kwa kiingereza" na je zina utofauti? na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni sawa na serikali ya Magufuli?
 
Natofautiana na wewe. Bush administration ni utawala wa Bush na sio serikali ya Bush. Sidhani kama mleta mada ana tatizo kuita Utawala wa Magufuli hoja yake ni iitwe Serikali ya Tanzania na sio vinginevyo. Mfano wako ni irrelevant.

Kula dawa hiyo upone

administration

noun ad·min·is·tra·tion \əd-ˌmi-nə-ˈstrā-shən, (ˌ)ad-\
Popularity:

Simple Definition of administration
  • : the activities that relate to running a company, school, or other organization

  • : a group of people who manage the way a company, school, or other organization functions

  • : a government or part of a government that is identified with its leader (such as a U.S. president or British prime minister)
 
Mbona unajichanganya sasa, ninachosema "utawala wa Magufuli ni nini kwa kiingereza" na serikali ya Magufuli ni nini kwa kiingereza" na je zina utofauti? na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni sawa na serikali ya Magufuli?

Hakuna utawala wa magufuli baba,kuna serikali ya Magufuli na Obama administration maana yake si 'utawala wa Obama' maana yake ni serikali ya Obama kwa muktadha wa US. Ndio maana nikakuambia translation fani ya watu. ukiwa na maana moja ya neno, usipojua muktadha na ukiwa na direct translation wewe si mahiri katika translation ndio maana nilipokupa unitafsirie Tanzania' s state house ukapaniki. Haya nakuongezea dawa upone kabisa hapa chini.

administration
play

Popularity: Top 10% of words
Simple Definition of administration
  • : the activities that relate to running a company, school, or other organization

  • : a group of people who manage the way a company, school, or other organization functions

  • : a government or part of a government that is identified with its leader (such as a U.S. president or British prime minister)
 
Mbona unajichanganya sasa, ninachosema "utawala wa Magufuli ni nini kwa kiingereza" na serikali ya Magufuli ni nini kwa kiingereza" na je zina utofauti? na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni sawa na serikali ya Magufuli?

Hakuna utawala wa magufuli baba,kuna serikali ya Magufuli na Obama administration maana yake si 'utawala wa Obama' maana yake ni serikali ya Obama kwa muktadha wa US. Ndio maana nikakuambia translation fani ya watu. ukiwa na maana moja ya neno, usipojua muktadha na ukiwa na direct translation wewe si mahiri katika translation ndio maana nilipokupa unitafsirie Tanzania' s state house ukapaniki. Haya nakuongezea dawa upone kabisa hapa chini.

administration
play
noun ad·min·is·tra·tion \əd-ˌmi-nə-ˈstrā-shən, (ˌ)ad-\
Popularity: Top 10% of words
Simple Definition of administration
  • : the activities that relate to running a company, school, or other organization

  • : a group of people who manage the way a company, school, or other organization functions

  • : a government or part of a government that is identified with its leader (such as a U.S. president or British prime minister)
 
Kama unadhani unanichanganya mie basi ni bahati sana, hapa wewe ndio unajichanganya. Na nadhani hujajua tofauti ya MAGUFULI GOVERNMENT na MAGUFULI ADMINISTRATION.
Hilo la pili hakuna mwenye shida nalo liko duniani kote. Jee hilo la kwanza umewahi kulisikia wapi? Hapo akiamua kuweka hata picha yake kwenye bendera nani atamhoji?

Hahahahahahahahahahahahaha! Wazee wa direct translation! Administration kwa kiingereza cha marekani na context ya marekani ina maana ya government. Government kwa kiswahili chetu vile ndio serikali eenh? Sasa wewe niambie umemsikia nani akisema Magufuli' Government au nayo umefanya direct translation uliposikia watu wanasema Serikali ya Magufuli. Shule nzuri, hasa shule ya translation wanapokuja watu wanaodhani wanajua maneno hivyo wanaweza kufanya translation hakika unafurahi.
 
Kula dawa hiyo upone

administration

noun ad·min·is·tra·tion \əd-ˌmi-nə-ˈstrā-shən, (ˌ)ad-\
Popularity:

Simple Definition of administration
  • : the activities that relate to running a company, school, or other organization

  • : a group of people who manage the way a company, school, or other organization functions

  • : a government or part of a government that is identified with its leader (such as a U.S. president or British prime minister)

Hapo ndo maana nikakwambia utaitumia kama
Hakuna utawala wa magufuli baba,kuna serikali ya Magufuli na Obama administration maana yake si 'utawala wa Obama' maana yake ni serikali ya Obama kwa muktadha wa US. Ndio maana nikakuambia translation fani ya watu. ukiwa na maana moja ya neno, usipojua muktadha na ukiwa na direct translation wewe si mahiri katika translation ndio maana nilipokupa unitafsirie Tanzania' s state house ukapaniki. Haya nakuongezea dawa upone kabisa hapa chini.

administration
play
noun ad·min·is·tra·tion \əd-ˌmi-nə-ˈstrā-shən, (ˌ)ad-\
Popularity: Top 10% of words
Simple Definition of administration
  • : the activities that relate to running a company, school, or other organization

  • : a group of people who manage the way a company, school, or other organization functions

  • : a government or part of a government that is identified with its leader (such as a U.S. president or British prime minister)

Mkuu kaa unywe maji alafu utulie kidogo, kuna hili neno "utawala wa mh Rais Magufuli" je linatamkwa kwa makosa? tuanzie hapo kwanza.
 
Sasa hivi viongozi wa serikali kuanzia mawaziri kuja chini wamejenga tabia ya kutoa maagizo huku wakitumia kauli kuwa serikali ya Magufuli inaagiza hili au lile na haitaki hili au lile.

Huu ni upotoshaji, hakuna serikali ya Magufuli popote hapa duniani zaidi ya nyumbani kwake, iliyopo ni ya Wananchi wa JMT inayoongozwa na Magufuli kama Rais aliyepewa ajira hiyo na masharti ya jinsi ya kufanya kazi na hao wananchi.

Huu mtindo wa kazi na maamuzi ya kidola haiwezekani kubinafsisha kwa mtu hali ambayo inamfanya hata akili yake ijijenge kuwa serikali hii ni mali "yangu".

Waziri akisimama kuzungumzia umeme anasema serikali ya Magufuli imeamua hivi, wakati huo ni mpango wa kitaifa. Na mikoani RC akishughulikia kisina atasema hivyohivyo wakati visima hivyovya serikali hata Magufuli havijui.

Hatari ya tabia hii itafikia hata Polisi wakizuia maandamano au fujo kujikuta wakitoa amri "Serikali ya Magufuli inatoa watu wote watawanyike mara moja kwa amani la sivyo ...."

Viongozi warudi kwenye matari, tunayo SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO TANZANIA pekee.
Hata juzi kama siyo jana nimemsikia waziri wa afya Umy Maalimu akisema 'serikali ya Magufuli'. I was shocked. Wote hawa wnasumbuliwa na nidhamu ya woga.
 
Hapo ndo maana nikakwambia utaitumia kama

Mkuu kaa unywe maji alafu utulie kidogo, kuna hili neno "utawala wa mh Rais Magufuli" je linatamkwa kwa makosa? tuanzie hapo kwanza.

Tusibadilishe mada, mada inahoji matumizi ya 'phrase' Serikali ya Magufuli. Mimi nasema ipo sahihi kwa kuwa hata nchi nyingine kama US hutumia hivyo na mfano ni Obama Administration. Wewe unakataa unasema Obama Administation si sawa na serikali ya Obama kwani Obama Administration maana yake ni utawala wa Obama. Mimi nakuambia kwa muktadha wa US Obama Administration maana yake ni Serikali ya Obama na nikakupa maana mojawapo ya Administration kutoka katika Merriam Webster Dictionary ni kuwa ni government, unaweza uka iggogle. Uzuri dictionary imekupa mfano wa mahali ambapo hutumika hivyo. Usilete red herring hapa, utawala wa Magufuli sio ishu yetu. Kama ugonjwa huu dawa imeshaingia leta ugonjwa mwingine lakini kwanza kubali umepona. Kama bado fanya 'arguement' usilete ishu mpya
 
Back
Top Bottom