The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 4,217
- 6,349
Ujumbe fikirishi sanaa.. Embu tupe moja na mbili hapaKuna mahali nimwekea alter maalumu ila hakuna anaye ishi hapo porini

Mtu chake:vipi mbona upo kimya kuhusu ishu za DRC,Tupe tipsKuna kitu najifunza.
Mkuu, Asante kwa Uzi mzuri, nilikuwa nimetekwa na dini za wazungu, lakini baada ya kusoma shule ya kanisa tukifunzwa bible knowledge, nilishangazwa kuambiwa bibilia iliandikwa na wazee 70 lakini tuwapo kanisani utasikia bibilia iliandikwa na roho mtakatifu. Profesa wangu chuo kikuu, akamaliza kabisa kwa kusema dini zote ni uupuzi isipokuwa African Tradition Religion.Sina haja ya kutoa salam. Kwani najua wengi hampo salama.
Nimeamua kuleta mada hii tata ili kuwafumbua macho walio wengi. Kwanza nakiri kwamba ukweli unashangaza sana. Truth is stranger tha finction. Asilimia 75% ya watu weusi ni watumwa.
Mizimu ni roho za watu ambao ni ndugu zetu waliokufa ambao wamekuwa trapped in 4th dimension na binadamu wa kawaida tupo third dimension. Wao ndio viumbe wa karibu na sisi sana ukizingatia kuna nine dimensions ulimwenguni. Wote sisi ni wasafiri. Na mwisho wa safari yetu ni tisa.
Wengi wa watu weusi wana laana ya asili kwa sababu ya utumwa wa fikra. Lakini silazimishi mtu akiamini kile nachotoa hapa. Kwani wengi wamekuwa trapped by by the matrix system.
Kila jamii zilizo tuzunguka zina miungu yao. Mfano wayahudi (waisraeli) wana mungu wao wa musa aliyetajwa kitabu cha mwazo. Wanasema ni mungu wa haki. Amesemwa ni mngu wa haki kwani ameweka sheria na adhabu kali kwa mwanadamu. Na mungu wa waisraeli ni mungu wa Time (muda) ambaye ameumba vitu. Sikatai.
Pili kuna mungu wa agano jipya chini ya yesu ambaye ni mungu wa upendo. Mungu huyu yupo na anaabudiwa na warumi( warumi ndio wazungu wa sasa hivi au roman empire)
Mungu wa waisraeli, warumi na waarabu ni mungu wa muda hata ukisoma vitabu vyao kila saa wanajisifu wao ndio wana control time.
Kila jamii za kidunia zina miungu yao mfano wahindi wana mungu brahma, kali, vishu na krishna nk., wachina wana budha pamoja na wajapani na watu wote wenye asili ya macho madogo mungu wao ni sanamu lenye tumbo kubwa linaitwa budha.
Waarabu mungu wao ni allah ambaye anawakiliswa na jiwe lipo maka linaitwa black stone jiwe jeusi ambalo lipo al kaba jiwe hilo lilishuka duniani toka kipindi cha adamu na hawa na watu wakienda kuhiji wanalibusu na kusujudia jiwe hilo kwa kulizunguka mara saba. Jiwe hilo linaitwa hajr al aswad.
Ni ibada ya kuabudu sanamu lakini waislamu wengi hawajui ukweli huu. Ndo mana wanipagana vita na kuwauwa watu weusi wenzao kwa makundi kama boko haramu na al shabab. Ni sawa na mawe yanayotumiwa kuchonga sanamu la yesu wa wakrito wakaliabudu. Haina tofauti wote waislamu na wakristo wote wanamuabudu Saturn au Kronos ndo mana waslamu wanaamini biblia ni kitabu cha mungu ambaye ni saturn katika nguzo zao za imani. Nasisitiza mungu wa wakristo ni Saturn pamoja na waislamu ili ujuwe huu ukweli lazima uwe INITIATE. Kawa wewe sio INITIATE utaishi kutoa sadaka na sijda.
Kronos Ndio mungu wa waislamu na wakristo. Na nguvu zake sio kamili kwani mungu halisi hatoi adhabu wala hataki kunyenyekewa ni mungu wa upendo haijalishi unafanya mabaya au hapana yeye yupo tuu wala hawezi kuhukumu kitu. Duniani tupo kwaajili ya kujifunza hivyo hakuna zuri wala baya. Inategemeana na tafsiri ya kile unachokiona nikzuri kwako kinaweza kuwa kibaya kwa mwenzako.
Kwa sasa kuna mawakala wengi sana makanisani na kisikitini wakiwaaminisha kuwa mizimu ni roho chafu za kuzimu ilihali wakijuwa wao wamepokea shahada za ki freemason ambazo ni ibqda za wazungu na hii ipo katika historia ya mqmbabu zao kwamba ndio asili yao wazungu. Wanawatoa watu weusi wenzao katika ukweli ili kulinda maslahi yao ya kidunia.
Wanachofanya hawa watu wazungu ni kututoa katika asili yetu na sisi kufata mambo yao.
Mzimu ni baba au mama yako aliyekufa je baada mzazi wako akifa utamchukia au utamkumbuka kwa wema aliokufanyia kwa malezi mpaka hapo ulipo fika.? Baba na mama yako nao wana wazazi wao ambao nao walisha tangulia mbele za haki mlolongo unaendela hivo. Lengo la ibada ya mizimu ni kutoa shukrani kwa walio tutangukia kwani wao wanatuona ila sisi hawatuoni ila sio kuwa abudu. Kuna tofauti ya kutoa shukranu na kuabudu mfano kujenga kaburi la ndugu au jamaa ni kuonyeaha shukrani fulani.
Wanachofanya watu wa dini mfano wakristo na waslamu kupiga vita mizimu hasara yake hutaiona hapa duniani na pindi utakapo kufa utawakuta ndugu zako na ma bibi na mababu zako ila hawata kupokea kama sehemu yao kwani wakati upo duniani uliwadhihaki na kuwa adui kwao.
Mizimu wanachotaka ni kuwa na hisia za kibinadamu kutowa sadaka mbali mbali kwao ikiwamo za wanyama kwani huwa wametuzunguka na mkikutana kama ukoo huwa wapo na hupenda.
Mizimu inapenda pombe maji au wanyama wanaochunjwa kwa hesma yao kwani ndio life style ya mwanadamu toka enzi watu wanakunywa pombe. Kwa vitu hivo unatengeza conection ya mafanikio yako hapa duniani na ukifa utakuwa na watu watakao kupokea. Ukifa unaenda sehemu ya ugenini lazima uwe na wenyeji walio kutangulia.
Kama ulivyo zaliwa hapa duniani ukapokewa na wazazi wako na ndugu zako na pia utakapo kufa jua kuna wenyeji ambao walisha kutangulia ambao watakupokea. Je hao wenyeji uliwafanyia jambo gani la maana kuonyesha heshima kwao. Wakati bila wao wewe usinge weza kuzaliwa. Kumbuka marehemu babu yako na bibi yako ndio walizaa wazazi wako ambao unawapenda. Na wazazi wako wana wazazi wao ambao wana wapenda na kuwakumbuka cheni ni ndefu sana kurudi nyuma mpaka wewe ukawepo hapo ulipo daganywa na stori za biblia ya warumi na kurani ya waarabu.
Dini zote ambazo mnaziabudu zote zililetwa na watesi wetu na kuwachukua babu na bibi zetu kama watumwa na wameua watu weusi wengi sana. Alafu leo unajifanya mlokole au mkristi safi au muslam safi jua unajidanganya na unaungana na maadui za wazee wetu na kusahau mila.
Ukoo hauishi, kama ulivyo pokelewa hapa duniani na wazazi wako utapokelewa na ahera na mizimu ya waliokutangulia kama ulikuwa unawatoa katika jina la yesu ndonutajua sasa utakapo ishia na mtu akifa kinachobakiwa nae ni kumbukumbu za maisha yake.
Watu weusi ni watumwa wa fikra za historia ipo wazi kuwa tulijishusha chini na kupokea tamaduni za watu wengine hasa waarabu na wazungu. Ili tufanikiwe gundueni tatizo lipo wapi kwanini tuna mali zote lqkini hatuna baraka tupo katika lindi la umaskini na kusalitiana?
Mfano wa wazi ni filamu ya vikings ambapo ragnar alisahau mizumi ya asili kwao kwa kupokea ukristo na mizimu ikamsahau. Ile filamu ni kwaajili ya kutoa fundisho usisahau ulipo toka.
Mimi siabudu mizimu ila natoa shukrani kwa wazee wangu wote waliotangulia mbele za haki ambao bila wao nisinge weza kuzaliwa na baba na mama yangu kwa kutia sadaka ya denge au maji au chochote nachotaka. Kuna mahali nimwekea alter maalumu ila hakuna anaye ishi hapo porini. Ila kwakuwa najua mizimu ipo na mimi inajua nachofanya.
Ombi langu kwako usigombane na mizimu ya watangulizi wako kwani huwezi jua kama wao ni mizimu huenda na wewe ukawa mzimu pia ila ukiwa mzimu wenye maaadui upande wa pili itakuwa ngumu kwako.
Heshimuni tamaduni zenu tukutane mwezi 12 nyumbani. Kuwa kwako mkristo autimatiki unaona waslamu wanaenda motoni wahindi wanaenda matoni na wayahudi pamoja na watoa shukrani kwa mizimu hii ndo mentality wa matrix wana kuwa na Ego kwamba wao dini yao ndo ya haki na wengine wapo dini ya uongo kumbe wote wamepotea.
Wewe unapokesha kumsifia mungu wa waisraeli usije kudhani eti baraka zinakujua kwako hapana zinaenda kwa waisrael na vilevile unavyo msalia mtume na allah baraka zote zinaenda kwa waarabu ndo mana mtu mweusi ni maskini wa mali akili na fikra.
Elimu hii sio ya ku google ni urithi wangu niliopewa. hivo usije kuniambia uislamu au ukristo ni dini ya haki nikikuomba ushahidi ukaniletea maneno kwa biblia imesema au qurani imesema wewe ulikuwepo au wewe ni mwarabu au mrumi.? Pita hivi.
there is only one true dimensionJifunze kuhusu dimensions au njia za ulimwengu zipo tisa hii ya ubinadamu ni ya tatu. Ukitoka hapa kuna zingine safari yako itaendelea labda kama you have no soul.
🤣🤣🤣🤣mecheka sanaaWatu wanaogopa moto kuliko kumuogopa Mungu yani kwanza watu wengi dini awazipendi basi wanqogopa story za moto tu.
ulichokiongea ni kweli kwa asilimia zote,Jifunze kuhusu dimensions au njia za ulimwengu zipo tisa hii ya ubinadamu ni ya tatu. Ukitoka hapa kuna zingine safari yako itaendelea labda kama you have no soul.
ulichokiongea ni kweli kwa asilimia zote,
kuna kisa kimoja kiliwah kumtokea
kumtokea mama mkubwa wangu
mnamo mwaka 2008
yeye alikufa kwa mda,
kisha akafufuka na baada ya kufufuka alielezea yaliyomkuta pindi amekufa.
Yeye alifarik dodoma mjini,
na nyumban ni kijijini, hivo uliandaliwa utaratibu wa kusafilisha mwili wa marehemu hadi kufika nyumbn ni mwendo wa masaa mawili
walifika nyumban na mwili wa marehemu,
Walikaa masaa mawili
yule bi mkubwa akaamka watu waliokuwa hapo walishangaa sana na hata wengne kukimbia
yeye bi mkubwa akawaambia naomba maji ya kunywa maana nmechoka sana,
nmetembea kwa mda mlefu na nmetoka mbali sana,
basi wakampatia maji na kisha akawaeleza kisa alichokutana nacho,
nanukuu kama nilivyosikia kutoka kwake
anasema alikuwa anatembea kwa mda mlefu huko alikokuwa alikuwa akipita kwenye milima na mabonde bila kuelewa anaelekea wapi alitembea kwa mda mlefu mwisho alikuta kuna mlango mkubwa wa kuingia basi alibisha hodi na mlango ukafunguliwa
baada ya mlango kufunguliwa aliona ile sehemu ina mwanga mweupe na unaong'aa sana tofauti na wadunian
hakuna jua ila mwanga umetapakaa sehemu yote,
kifupi ni kama wana dunia yao tofaut na sisi,
alipoingia ndani alikutana na ndugu zake wa zamani waliokuwa wamekufa dunian akawakuta kule
anasema kuna watu wengi sana kule
hata hivyo anasema wale watu hawakumpokea maana walikuwa wameinamisha vichwa chini
yeye aliendelea mbele akakuta babu yake mzaa baba ake amekaa kwenye kiti na yule babu yake pia hakumtazama uso ila alikuwa kainamisha kichwa
alipofika yule babu yake akamuuliza
wewe nani?
akajitaja jina
akaulizwa umekuja kufanyaje,
akawaambia nmekuja kama nyinyi mlivyo kuja,
babu akamwambia umekuja kabla ya mda wako chukua haya maji unywe upate nguvu ugeuke uludi ulikotoka
mda wako wa kuja huku ulikuwa bdo haujafika bali kuna mtu alikuroga hivo sisi hatukupokei,
mda wako wa kuja ukifika tutakupokea,
baada ya hapo alianza kurudi alitembea umbali kidogo baada ya kuvuka mlango wa kule
ndo akastuka akiwa kitandani.
na akasimulia kama nilivowaelekeza hapo juu,
Tokea cku hyo nilijifunza mambo meng kupitia hii story ya kweli kabisa
kwamba kuna dunia baada ya kufa
na ukifa unaenda kuungana na ndugu zako waliokutangulia kabla
ambao sisi ndo tunawaita mizimu.
hata hivyo huyo mamkubwa ameshafariki kwa sasa.
lakin aliniachia somo kwamba nijitambue kuwa baada ya kufa kuna maisha,
na maisha yenyewe ni kuungana na ndugu zako waliokutangulia,
Mkuu kwani Mungu wako mwenye uwezo wote, anaejua yote na alie mahali popote..YUKO WAPI MBONA SHETANI ANAZIDI KUTESA NA KUPOTEZA UMAARUFU WA MUNGU MWWNYEWE??Ngoja nami niseme kitu.
Sasa hawa mizimu wetu walikuwa wapi before hawa wageni hawajaja? mbona walishindwa kututetea mababu zetu wasitawaliwe na wateswa na kulazimishwa dini za kigeni? je hawa mizimu ni wenye uezo au wasanii tu? leo hii wapo wapi na madhila tunayoyapata mbona hawajishughulishi ? mpaka waombwe? upendo wao kwetu mbona zero?
nijibiwe kwanza haya!
Nakubali sana Mkuu hii ndio elimu tunatakiwa kupeanaSina haja ya kutoa salam. Kwani najua wengi hampo salama.
Nimeamua kuleta mada hii tata ili kuwafumbua macho walio wengi. Kwanza nakiri kwamba ukweli unashangaza sana. Truth is stranger tha finction. Asilimia 75% ya watu weusi ni watumwa.
Mizimu ni roho za watu ambao ni ndugu zetu waliokufa ambao wamekuwa trapped in 4th dimension na binadamu wa kawaida tupo third dimension. Wao ndio viumbe wa karibu na sisi sana ukizingatia kuna nine dimensions ulimwenguni. Wote sisi ni wasafiri. Na mwisho wa safari yetu ni tisa.
Wengi wa watu weusi wana laana ya asili kwa sababu ya utumwa wa fikra. Lakini silazimishi mtu akiamini kile nachotoa hapa. Kwani wengi wamekuwa trapped by by the matrix system.
Kila jamii zilizo tuzunguka zina miungu yao. Mfano wayahudi (waisraeli) wana mungu wao wa musa aliyetajwa kitabu cha mwazo. Wanasema ni mungu wa haki. Amesemwa ni mngu wa haki kwani ameweka sheria na adhabu kali kwa mwanadamu. Na mungu wa waisraeli ni mungu wa Time (muda) ambaye ameumba vitu. Sikatai.
Pili kuna mungu wa agano jipya chini ya yesu ambaye ni mungu wa upendo. Mungu huyu yupo na anaabudiwa na warumi( warumi ndio wazungu wa sasa hivi au roman empire)
Mungu wa waisraeli, warumi na waarabu ni mungu wa muda hata ukisoma vitabu vyao kila saa wanajisifu wao ndio wana control time.
Kila jamii za kidunia zina miungu yao mfano wahindi wana mungu brahma, kali, vishu na krishna nk., wachina wana budha pamoja na wajapani na watu wote wenye asili ya macho madogo mungu wao ni sanamu lenye tumbo kubwa linaitwa budha.
Waarabu mungu wao ni allah ambaye anawakiliswa na jiwe lipo maka linaitwa black stone jiwe jeusi ambalo lipo al kaba jiwe hilo lilishuka duniani toka kipindi cha adamu na hawa na watu wakienda kuhiji wanalibusu na kusujudia jiwe hilo kwa kulizunguka mara saba. Jiwe hilo linaitwa hajr al aswad.
Ni ibada ya kuabudu sanamu lakini waislamu wengi hawajui ukweli huu. Ndo mana wanipagana vita na kuwauwa watu weusi wenzao kwa makundi kama boko haramu na al shabab. Ni sawa na mawe yanayotumiwa kuchonga sanamu la yesu wa wakrito wakaliabudu. Haina tofauti wote waislamu na wakristo wote wanamuabudu Saturn au Kronos ndo mana waslamu wanaamini biblia ni kitabu cha mungu ambaye ni saturn katika nguzo zao za imani. Nasisitiza mungu wa wakristo ni Saturn pamoja na waislamu ili ujuwe huu ukweli lazima uwe INITIATE. Kawa wewe sio INITIATE utaishi kutoa sadaka na sijda.
Kronos Ndio mungu wa waislamu na wakristo. Na nguvu zake sio kamili kwani mungu halisi hatoi adhabu wala hataki kunyenyekewa ni mungu wa upendo haijalishi unafanya mabaya au hapana yeye yupo tuu wala hawezi kuhukumu kitu. Duniani tupo kwaajili ya kujifunza hivyo hakuna zuri wala baya. Inategemeana na tafsiri ya kile unachokiona nikzuri kwako kinaweza kuwa kibaya kwa mwenzako.
Kwa sasa kuna mawakala wengi sana makanisani na kisikitini wakiwaaminisha kuwa mizimu ni roho chafu za kuzimu ilihali wakijuwa wao wamepokea shahada za ki freemason ambazo ni ibqda za wazungu na hii ipo katika historia ya mqmbabu zao kwamba ndio asili yao wazungu. Wanawatoa watu weusi wenzao katika ukweli ili kulinda maslahi yao ya kidunia.
Wanachofanya hawa watu wazungu ni kututoa katika asili yetu na sisi kufata mambo yao.
Mzimu ni baba au mama yako aliyekufa je baada mzazi wako akifa utamchukia au utamkumbuka kwa wema aliokufanyia kwa malezi mpaka hapo ulipo fika.? Baba na mama yako nao wana wazazi wao ambao nao walisha tangulia mbele za haki mlolongo unaendela hivo. Lengo la ibada ya mizimu ni kutoa shukrani kwa walio tutangukia kwani wao wanatuona ila sisi hawatuoni ila sio kuwa abudu. Kuna tofauti ya kutoa shukranu na kuabudu mfano kujenga kaburi la ndugu au jamaa ni kuonyeaha shukrani fulani.
Wanachofanya watu wa dini mfano wakristo na waslamu kupiga vita mizimu hasara yake hutaiona hapa duniani na pindi utakapo kufa utawakuta ndugu zako na ma bibi na mababu zako ila hawata kupokea kama sehemu yao kwani wakati upo duniani uliwadhihaki na kuwa adui kwao.
Mizimu wanachotaka ni kuwa na hisia za kibinadamu kutowa sadaka mbali mbali kwao ikiwamo za wanyama kwani huwa wametuzunguka na mkikutana kama ukoo huwa wapo na hupenda.
Mizimu inapenda pombe maji au wanyama wanaochunjwa kwa hesma yao kwani ndio life style ya mwanadamu toka enzi watu wanakunywa pombe. Kwa vitu hivo unatengeza conection ya mafanikio yako hapa duniani na ukifa utakuwa na watu watakao kupokea. Ukifa unaenda sehemu ya ugenini lazima uwe na wenyeji walio kutangulia.
Kama ulivyo zaliwa hapa duniani ukapokewa na wazazi wako na ndugu zako na pia utakapo kufa jua kuna wenyeji ambao walisha kutangulia ambao watakupokea. Je hao wenyeji uliwafanyia jambo gani la maana kuonyesha heshima kwao. Wakati bila wao wewe usinge weza kuzaliwa. Kumbuka marehemu babu yako na bibi yako ndio walizaa wazazi wako ambao unawapenda. Na wazazi wako wana wazazi wao ambao wana wapenda na kuwakumbuka cheni ni ndefu sana kurudi nyuma mpaka wewe ukawepo hapo ulipo daganywa na stori za biblia ya warumi na kurani ya waarabu.
Dini zote ambazo mnaziabudu zote zililetwa na watesi wetu na kuwachukua babu na bibi zetu kama watumwa na wameua watu weusi wengi sana. Alafu leo unajifanya mlokole au mkristi safi au muslam safi jua unajidanganya na unaungana na maadui za wazee wetu na kusahau mila.
Ukoo hauishi, kama ulivyo pokelewa hapa duniani na wazazi wako utapokelewa na ahera na mizimu ya waliokutangulia kama ulikuwa unawatoa katika jina la yesu ndonutajua sasa utakapo ishia na mtu akifa kinachobakiwa nae ni kumbukumbu za maisha yake.
Watu weusi ni watumwa wa fikra za historia ipo wazi kuwa tulijishusha chini na kupokea tamaduni za watu wengine hasa waarabu na wazungu. Ili tufanikiwe gundueni tatizo lipo wapi kwanini tuna mali zote lqkini hatuna baraka tupo katika lindi la umaskini na kusalitiana?
Mfano wa wazi ni filamu ya vikings ambapo ragnar alisahau mizumi ya asili kwao kwa kupokea ukristo na mizimu ikamsahau. Ile filamu ni kwaajili ya kutoa fundisho usisahau ulipo toka.
Mimi siabudu mizimu ila natoa shukrani kwa wazee wangu wote waliotangulia mbele za haki ambao bila wao nisinge weza kuzaliwa na baba na mama yangu kwa kutia sadaka ya denge au maji au chochote nachotaka. Kuna mahali nimwekea alter maalumu ila hakuna anaye ishi hapo porini. Ila kwakuwa najua mizimu ipo na mimi inajua nachofanya.
Ombi langu kwako usigombane na mizimu ya watangulizi wako kwani huwezi jua kama wao ni mizimu huenda na wewe ukawa mzimu pia ila ukiwa mzimu wenye maaadui upande wa pili itakuwa ngumu kwako.
Heshimuni tamaduni zenu tukutane mwezi 12 nyumbani. Kuwa kwako mkristo autimatiki unaona waslamu wanaenda motoni wahindi wanaenda matoni na wayahudi pamoja na watoa shukrani kwa mizimu hii ndo mentality wa matrix wana kuwa na Ego kwamba wao dini yao ndo ya haki na wengine wapo dini ya uongo kumbe wote wamepotea.
Wewe unapokesha kumsifia mungu wa waisraeli usije kudhani eti baraka zinakujua kwako hapana zinaenda kwa waisrael na vilevile unavyo msalia mtume na allah baraka zote zinaenda kwa waarabu ndo mana mtu mweusi ni maskini wa mali akili na fikra.
Elimu hii sio ya ku google ni urithi wangu niliopewa. hivo usije kuniambia uislamu au ukristo ni dini ya haki nikikuomba ushahidi ukaniletea maneno kwa biblia imesema au qurani imesema wewe ulikuwepo au wewe ni mwarabu au mrumi.? Pita hivi.
Ndio maana umeambiwa huyo alikua ni Mungu wa wa Israel wewe mswahili huku anakuhusu nini kwa nini Injili hiyo Isitokee ipogolo pale kuelekea huko Uyahudi?kama kweli alikua Mungu wetuOkay...hivo ndo umeelewa ww,lkn ukisoma Kitabu cha Matendo ya Watume utaelewa jinsi Injili ilivoenezwa kutoka Uyahudi kwenda Asia,Ulaya na maeneo mengine.Hao Rumi hawakuwa Wakristo hapo kwanza,walikuwa na miungu yao.
Hoja hujibiwa kwa majibu sio tena maswali mengine yasio na kichwa wala miguu!Mkuu kwani Mungu wako mwenye uwezo wote, anaejua yote na alie mahali popote..YUKO WAPI MBONA SHETANI ANAZIDI KUTESA NA KUPOTEZA UMAARUFU WA MUNGU MWWNYEWE??
AU
Alikuwa wapi hadi Eva na Adam wanarubuniwa na shetani ili waasi?? mbona hakuzuia????
AU
Huyo Mungu wako yuko wapi mbona watu wake wanateseka na majanga, magonjwa na mabalaa mengine, MBONA HAZUII YASITOKEE??????????
This is pervesion to the extreme,duh!Sina haja ya kutoa salam. Kwani najua wengi hampo salama.