Upotoshaji kuhusu mizimu

Upotoshaji kuhusu mizimu

meandikwa Mhubiri 9:5-6, 10Kwa sababu walio hai wanjua ya kuwa watakufa lakini wafu hawajui neno lolote wala hawana ijara tena maana kumbukumbu lao limesahauliwa mapenzi yao namachukio yao na husuda yao imepotea yote pamoja wala hawana sehemu tena katika jambo lolote lililofanyika chini ya jua, lolote mkono wako utakapolipata kulifanya ulifanye kwa nguvu zako kwa kuwa hakuna kazi wala shauri wala maarifa wala hekima huko kuzimu uwendako wewe."
 
WAFU HAWAJUI NENO LOLOTE, TUSIENDE MAKABURINI KUWAOMBA WAFU WATUSAIDIE, UKIONA MAJIBU YA MAOMBI YAKO YAMEJIBIWA, HUYO NI SHETANI SIO MUNGU
 
Back
Top Bottom