Upotoshaji kuhusu mizimu

Upotoshaji kuhusu mizimu

Kuna jamii watu wao hata wakifa bado hawapumziki, wanaendelea kufanya kazi kama mizimu
 
Ni wakati mtu mwovu(mfano mbakaji,muuaji mchoyo nk alikuwa akiyafanya mambo hayo akiwa duniani halafu Mara anapokufa anageuka kuwa mtu mwema(mzimu)kiasi cha kuombwa msaada na walio hai?

Yaani mfano baba yako au babu yako alikuwa muuaji,mbakaji au mtu wa dhuluma akifa mtu huyuhuyo awe mwema kiasi cha kwenda kuombwa baraka na mafanikio? Ni wakati gani uovu unamtoka anageuka kuwa mwema?
 
Mzee kama ilivyokuwa duniani na upande wa pili ndio hivo hivo. Kwa kiswaili sijui inaitwaje lakini kwa kingereza inaitwa soul group. Ni kundi la watu wa asili moja. Kama wewe ni mtu mbaya lazima kuna watu wa baya wapo nyuma yako kukuunga mkono na kama wewe ni mtu mzuri jua kuna watu wako nyuma yako kukuunga mkono. Hii ipo kila jamii yesu alikuwa binadamu akafa huu ni mzimu mtume muhamadi alisha kufa lakini watu bado wanamtaja kwenye sala zao na wakati alisha kufa. Wale watu wa vita ya al badr wanatajwa mpaka sasa na ni mizimu ya waarabu.
 
Sasa kwa maana hiyo baba yako kama alikuwa mtu mbaya,Je akifa akishageuka kuwa mzima ukaenda kumuomba akusaidie mambo yako atafanya au ndio atayaharibu zaidi?
 
Sasa kwa maana hiyo baba yako kama alikuwa mtu mbaya,Je akifa akishageuka kuwa mzima ukaenda kumuomba akusaidie mambo yako atafanya au ndio atayaharibu zaidi?

Hapana haifanyi kazi hivo. Kwanza mizimu haiombwi kitu. Kinachotolewa pale ni shukrani tuu. Blood relation is only physical. Undugu ni temporary kama ulikiwa na mahusiano mabaya na baba jua kuna wengine ulikiwa na mahusiano nao mazuri na wewe katika ndugu zako. Baba yako hawezi kuwa sehemu ya soul group yako kama hakuwa mzuri kwako. Huenda kwenye pastlife huyo baba alikiwa adui yako na hapa physical world akawa mzazi wako. Tupo hapa kwa ajili ya kujifunza na kulipiza.
 
Mbona Wazungu nao walipelekewa Injili kama sisi lakini wameendelea.Maana ukweli ni kwamba nao walikuwa na dini zao,walipelekewa Injili wakaachana na dini zao za asili,...tusihalalishe kutokuendea kwetu kwa sababu nyepesi.
WAKIJBU NISHTUE
 
Jamaa ameanza vizuri lkn akaanza kuleta story za kawaida kawaida tu mara ukifa unahitaji wenyeji

umenichanganya mleta uzi.
Kaa kwenye mawe ulioanza nayo sijui tisa mara sisi tuko 3 na mizimu imekwama kwenye nne nk....
 
Siabudu kitu lakini naamini kitu.
basi itoshe kusema kila mtu ana kitu anachokiamini, kuabudu ni matokeo ya kuamini, kwa kua ukiomba mizimu anakupa kwa wakati basi nao wanaoamini katika Mungu(uliesema wa wazungu) anawapa kwa wakati wale wanao muamini. Imani ndio msingi.
SWALI: vipi kama lugha ya kiingereza unayotumia/unayosoma ni Mungu wa kizungu kasema waitumie, haikufanyi kua moja ya muamini dini ya kizungu?
 
Lugha ni utaratibu wa kuwasiliana kati ya binadamu. Lugha haifungamani na kitu chochote. Ni sauti za nasibu. Imani ni msingi kweli lakini imani hiyo inapaswa kuendana na mazingira yaliyo kizunguka (asili yako) sasa wazungu hao walitulazimisha imani yao kwa vita ya crusade na waarabu walitulazimisha kwa jihadi na ulaghai mwingine wa hawa watu. Ukiomba mungu wa wazungu na waarabu hufanikiwi. Hivyo unavyoviomba wanapata wao na neema zote zinaenda kwao. Wao hawana muda wa kuabudi hiyo kazi umedanganywa wewe kuamini kuwa ni kweli. Ukristo uislamu umekuja hapa afrika 1884 kuendelea. Inamana kabla ya hapo sisi tulikiwa hatuna cha kuamini au ndo wazee wetu wapo motoni kwa sababu hawajampokea yesu na muhamadi?
 
ili mada ikae sawa ungetuambia Mungu wetu sisi waafrika niyupi?
alafu utuambie mausiano ya uyo Mungu wetu sisi waafrika na hao mizimu....
natanguliza shukrani zangu kwako badison
 
Back
Top Bottom