Uporoto na klorokwin..........

nimewaona central muda si mrefu,sijui kunani,ngoja nicheck na Husn maana naye nimemwona akiwa na barua ya serikali za mitaa kwa ajili ya dhamana.
Ps: nasikia it is something to do na wizi wa kuku!
 
uporoto01 na klorokwin wameadimika. hadi mimi kesi za jf zinanilemea sasa. Mia
 
Half crazy naye amepotea kweli siku hizi. Naye namtakia R.I.P popote alipo.
 
eti tunakimbizana kwenye miti kama kidali poo kweli nakwambia,halafu nikashtuka kweli kuingia humu nakuta thread inamuhusu

aisee
itabidi akija aelezwe usikute na yeye huko alikuota lol
 
nimewaona central muda si mrefu,sijui kunani,ngoja nicheck na Husn maana naye nimemwona akiwa na barua ya serikali za mitaa kwa ajili ya dhamana.
Ps: nasikia it is something to do na wizi wa kuku!

babu weeeee! Unitue, usinikondeshe.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…