Upole!!

Upole!!

Lakini pia kuna issue ya kuwa mkweli. Wapo wanaosema honest is honest and the truth is the truth. Kuwa mkweli inaweza kuwa brutal vilevile or loving kutegemeana na attitude ya mtu anayeambiwa. Wapo wanawake wanaopenda kuujua ukweli in gentle way. Wengine just like men to spit the truth out. Na hii inaconfuse sana wanaume b'se some women get mad at them either way.


Paragraph ya kwanza nakubaliana nawe but if you love your lady hata kama you are brutally honest, then you are not considerate of her feelings thus her wellbeing as well.

Paragraph ya pili am more interested in the red... Hakuna a Lady who does not want her man to be gentle with her especially if its going to hurt her feelings... Ukweli ni kweli ndio but the way una deliver huo ukweli, thats the issue...

Paragraph ya tatu I can handle the truth especially from a man ambae siko romantically involved its easy to take .... Akiniambia Asha D hata uvae namna gani huvutii... sitajali i will work hard for i know am a woman and i have to play part to succeed in looking good. But my lover akiniambia hivyo... You lose confidence mbele yake, mana kila saa u will be thinking what he thinks of you (na usiombe a hot lady apite- ni suicide...)

Paragraph 4 I LOVE IT ... but more applicable katika perspective and focus ya kuangalia maisha.... In relation ships its not that hard mradi umsome you love one...

Paragraph 5 - The most important ni the question...
Do you think these responses will help us to be one step closer to being in touch with our inner beings?

I will answer it in case of relationships...

I believe in a relationship kila moja anatakiwa amsome mpenzi wake... How does s/he respond to certain things?

How can s/he handle and take things/issues? How can i tell if s/he is sad, happy, normal? How strong is s/he in stress realated issues? etc.... By knowing this you will find at the end of the day it depends on the nature of an individual and the relationship itself....

And finally I like your outlook on the matter...
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Lizzy uliomba comments toka kwa kina dada tu ,nisamehe bure mi uzalendo umenishinda wacha nipasue jipu.Wengine tukiongea humu huwa tunaambiwa eti tunatetea mfumo dume kumbe na ninyi wenyewe kina mama mnataka baba awe mkali na sio mpole.Mnaona sasa? Mina nina kesi nyingi za baba wapole ambao wameishia kuumizwa na wake zao.Upole upole huu unasikia mama kamzaba mzee vibao,mara kammwagia maji ya moto,mara kampiga na kitu kizito,na kibaya zaidi kina baba wa namna hii huwa wanaficha kinachowasibu na wakiulizwa wanasema 'walianguka kwenye ngazi'akichomwa na maji ya moto anasema ndoo ya maji ilimuangukia etc.Ndo mana bana mi nasema na nitarudia kusema MWANAMKE KULA NAYE,LALA NAYE,OGA NAYE,CHEKA NAYE LAKINI WAKATI WOTE ACHA MACHO YAKO WAZI!!!!!

Kweli wapo baadhi ya wanaume wanapigwa na wake zao mpaka wanaumia. Ukiwashauri waende polisi kuomba domestic violence pack, wanakujibu, unajua haikuwa kilvile. Hapa nilikwaruzika nilipogongana na mlango wakati akinirushia yale maji ya moto. Kesho na kesho kutwa anakuja na visa vile vile. Of course, hii haina tofauti na wanawake wanao-suffer domestic violence. Wanawake wengi sana wanaosuffer domestic violence, they dont want to disclose it. Tofauti ninayoiona ni kuwa wakati kuna vyombo maalumu vilivyoanzishwa kusaidia wanawake wanaosuffer from domestic violence, sidhani kama vyombo hivyo vipo pia kwa ajili ya wanaume wanaosuffer the same domestic violence. This is probably because society inaamini kuwa wanawake tuu ndio wanaokubwa na hilo tatizo.
 
Kumbe una sweet mwingine???
Unaniingiza choo cha mbuzi najiona??


Shem CPU acha kunisingizia, when did i say sina sweetie.... Usimfanye upole ukaisha ....Please....
 
Pamoja na compatibility nadhani kinachomatter zaidi ni compromise. Sidhani kama kuna mwanamke anayependa kuolewa na kuishi maisha yake yote na mume mlevi. It is because of compromise that maisha yanaenda. Uhusiano bila compromise hauendi. Binadamu wote sio sawa. Pia kumbuka you are from Venus, we are from Mars. We just met at the Earth.

Mkuu ume-hit kwenyenyewe...Hata ingekuwa vipi hakuna mtu anayeweza kudumu kwenye ndoa bila kufanya mahesabu ya hali ya juu na kukubali kuliwa baadhi ya kete zake. Cha msingi tunachojitahidi wenzenu ni kuhakikisha kwamba kete zetu haziliwi zote!!

Ndoa ni mchezo unaohitaji akili ya hali ya juu ambayo hakuna chuo hata kimoja duniani kinaweza kutoa hiyo elimu na kutunuku watu vyeti...!!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
<br />
<br />
Bishanga mnyanyasaji anayesema sijaweka tofali kwenye nyumba yake?

Kama kweli hukuweka hata jiwe ktk nyumba yake asiseme?? Au unataka mwanaume ambaye utamtawala ktk nyumba yake??
 
nothing to worry about sweetie,,,now will you get me a cup of coffee, please? had a long day, wanna get ma senses back


Its already hot and ready for you ..... You know were I always place it....
 
Back
Top Bottom