AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,113
we are practicing what Lizzy is saying here...LOL.....usijali eeh
Whoow....
we are practicing what Lizzy is saying here...LOL.....usijali eeh
Mmmmmh... I smell trouble and i dont like it at all......
Kumbe na wewe mkali namna hiyo???
Kazi ni hapo kwenye red 'kutafuta'.Kuna mahali nilimsoma Sweetlady jana kuhusu kukunja makucha kabla ya kuolewa na kukunjua makucha baada ya kuolewa nakumbuka alisema hiyo ni muhimu 'ili uolewe'maana vinginevyo mwanaume akijua hulka yako mapema hatakuoa.Unaona sasa ugumu unaposimamia Lizzy? Ubinadamu kazi mama!Muhimu ni kutafuta mtu unaeendana nae ili mmoja wenu asiwe muonevu na mwingine muonewaji!!Dah hiyo ishu ya kumwagiana maji ya moto inasikitisha kweli......ni roho mbaya tu ya hao wanawake wala haihusiani na upole wa waume zao!
CPU Kumbe dawa yako ndogo... Ukiambiwa ukweli unaona ukali eeeh....
Wrong smell . . .
You are going to be happy with CPU
Saa moja ndo hii, leo naomba nikuogeshe na nikusugue mgongoni na machicha ya nazi
Kweli hapo ndipo mtihani ulipo....kutanguliza maombi ni muhimu sana!Kazi ni hapo kwenye red 'kutafuta'.Kuna mahali nilimsoma Sweetlady jana kuhusu kukunja makucha kabla ya kuolewa na kukunjua makucha baada ya kuolewa nakumbuka alisema hiyo ni muhimu 'ili uolewe'maana vinginevyo mwanaume akijua hulka yako mapema hatakuoa.Unaona sasa ugumu unaposimamia Lizzy? Ubinadamu kazi mama!
Laiti ungejua . . .
Ondoa shaka mamii wangu, sijahamisha maana hata kidogo, tupo pamoja bado. Wala sijakuelewa kiivyo unavyohofia . . .
Kazi ni hapo kwenye red 'kutafuta'.Kuna mahali nilimsoma Sweetlady jana kuhusu kukunja makucha kabla ya kuolewa na kukunjua makucha baada ya kuolewa nakumbuka alisema hiyo ni muhimu 'ili uolewe'maana vinginevyo mwanaume akijua hulka yako mapema hatakuoa.Unaona sasa ugumu unaposimamia Lizzy? Ubinadamu kazi mama!
mimi sihitaji mwanaume mpole nahisi kama ntakuwa najiendesha kimpango wangu.
Niliwahi lazimishwa kuvua nguo ikatupwa kwenye ndoo ya maji na nikaambiwa niitumie kama tambara la deki right there.Iliniuma sana ila with time nilijamwelewa and i neva break his rules.
niligundua his inner circle's rules zinafanana na za kwanguJe na wewe umeweka 'rules' zako na kamwe hazivunji?
kwa faida ya kina kaka embu wadada tujuzane mnapenda wapenzi/wenzi wenu waweje linapokuja swala la upole.hapa siongelei ule upole wa muda kwamba ikitokea ugomvi mara moja moja anaweza kujishusha ...naongelea ule upole ambao ndio tabia yake.yani kila kitu ye anakua mdogo tu....hata kama kosa sio lake anakua mdogo...hata kama anaonewa anakua mdogo!!
binafsi mi naogopa kua na mtu wa aina hii kwenye mahusiano kwasababu najijua ni mkorofi kidogo kwahiyo naona kama ntamuonea sana.iwe kwa makusudi au la najua mwisho wa siku ntaishia kujisikia vibaya na ntakua nimeshamuonea tayari!!napenda mtu ambae nikikosea atanipa live na sio kwakunibembeleza maana wakati mwingine mtu akikwambia kitu kwa utaratibu ni rahisi kupotezea ila ukiona kakasirika kweli usikilizaji na uelewaji unaongezeka!!
Michango tafadhali......
Kwenye debe cntojisaidia kumbuka lilikuwa ni deal hata yeye akichemka wataniachia tuKwahiyo bora akuache ujisaidie kwenye debe??