Kwa faida ya kina kaka embu wadada tujuzane mnapenda wapenzi/wenzi wenu waweje linapokuja swala la upole.Hapa siongelei ule upole wa muda kwamba ikitokea ugomvi mara moja moja anaweza kujishusha ...naongelea ule upole ambao ndio tabia yake.Yani kila kitu ye anakua mdogo tu....hata kama kosa sio lake anakua mdogo...hata kama anaonewa anakua mdogo!!
Binafsi mi naogopa kua na mtu wa aina hii kwenye mahusiano kwasababu najijua ni mkorofi kidogo kwahiyo naona kama ntamuonea sana.Iwe kwa makusudi au la najua mwisho wa siku ntaishia kujisikia vibaya na ntakua nimeshamuonea tayari!!Napenda mtu ambae nikikosea atanipa live na sio kwakunibembeleza maana wakati mwingine mtu akikwambia kitu kwa utaratibu ni rahisi kupotezea ila ukiona kakasirika kweli usikilizaji na uelewaji unaongezeka!!
Michango tafadhali......
Nipo kwenye mode ya upole sasa hivi!Lucky you!

Lizzy uliomba comments toka kwa kina dada tu ,nisamehe bure mi uzalendo umenishinda wacha nipasue jipu.Wengine tukiongea humu huwa tunaambiwa eti tunatetea mfumo dume kumbe na ninyi wenyewe kina mama mnataka baba awe mkali na sio mpole.Mnaona sasa? Mina nina kesi nyingi za baba wapole ambao wameishia kuumizwa na wake zao.Upole upole huu unasikia mama kamzaba mzee vibao,mara kammwagia maji ya moto,mara kampiga na kitu kizito,na kibaya zaidi kina baba wa namna hii huwa wanaficha kinachowasibu na wakiulizwa wanasema 'walianguka kwenye ngazi'akichomwa na maji ya moto anasema ndoo ya maji ilimuangukia etc.Ndo mana bana mi nasema na nitarudia kusema MWANAMKE KULA NAYE,LALA NAYE,OGA NAYE,CHEKA NAYE LAKINI WAKATI WOTE ACHA MACHO YAKO WAZI!!!!!
kwa kweli hata mimi sitaki awe mpole wa hivyo....nataka wakati wa valangati ni valangati kweli na wakati wa kula kuku basi kwa raha zetu.....akiwa mpole sana nitajikuta nimempa kibao halafu iwe shida

Yaani raha zangu uzipate gesti hausi???
Mzee DC unatoa tahadhari badala ya ushauri na mawaidha??Lizzy,
Mungu akubariki sana na akupe nafasi ya kufanya practicals..
Haya mambo ni biashara kichaa...Unapodhani utapata faida kumbe ndo unajipeleka kwenye kuua mtaji. Tumshukuru tu Mungu kwamba wengine tunakabiliana na hali na kusonga mbele. Naomba Lizzy na wenzake wanaosubiri kuanza hii ngwe wajiandae kwa mambo kibao yanayo na yasiyotarajiwa (predictable and unpredictable things)!!!!!!
Mzee DC
I know still working on it... huoni najibalaguza ukumbuke ku take notes.... K is suffocating my free time...
Lizzy uliomba comments toka kwa kina dada tu ,nisamehe bure mi uzalendo umenishinda wacha nipasue jipu.Wengine tukiongea humu huwa tunaambiwa eti tunatetea mfumo dume kumbe na ninyi wenyewe kina mama mnataka baba awe mkali na sio mpole.Mnaona sasa? Mina nina kesi nyingi za baba wapole ambao wameishia kuumizwa na wake zao.Upole upole huu unasikia mama kamzaba mzee vibao,mara kammwagia maji ya moto,mara kampiga na kitu kizito,na kibaya zaidi kina baba wa namna hii huwa wanaficha kinachowasibu na wakiulizwa wanasema 'walianguka kwenye ngazi'akichomwa na maji ya moto anasema ndoo ya maji ilimuangukia etc.Ndo mana bana mi nasema na nitarudia kusema MWANAMKE KULA NAYE,LALA NAYE,OGA NAYE,CHEKA NAYE LAKINI WAKATI WOTE ACHA MACHO YAKO WAZI!!!!!
Haya endelea.....
Kila mwanamke anapenda kusifiwa... but ikizida saaana inakua kama kejeli, we kila saa mpenzio nasifia parts za mwiili wako, kila ukionana nae hivyo hivyo (ndio ni wazi kua a guy ambae ni lijali is thinking of sex most of the time - but kunahaja ya kongea ongea ???) EMT wewe ni mkaka na obviously unajua traits za baadhi ya wanaume wenzio... Naomba nijibu ukweli, mwanaume anaempenda mwenza wake mapenzi ya kweli atamsifia body parts kila saa na kila wakionana??? Hiyo kama si lust ni kitu gani.....
Kuhusu a lady kukuuliza how she looks tafadhali usije fanya mistake kumwambia anaonekana kituko hata kama humpendi... Na ukweli ni kwamba a guy anaekupenda lazima atakua na tactical answers...Your lady kakuuliza "how does my lips look ?" - hapo inamaana labda kapaka lipstick.... Ukiona hio lipstick inamchekesha usimuache hivyo na kumsifia uongo.. Tumia busara zinazotakiwa katika mapenzi ... Mwambie "Honey hio lipstick looks good but I always find your lips sexy the way you always do them..." - Kwa hii statement unafikiri atatoka nayo ???
orait orait baby.......am right here
Any encroachers, son?
Mzee DC unatoa tahadhari badala ya ushauri na mawaidha??

Shem hebu tuheshimiane nyumbani kwangu unapaita Guest House. Omba msamaha kabla sijaanza ukorofi wangu
Kwahiyo bora umsifie wewe alafu huko nje awe kichekesho???Mi bora niambiwe ukweli ili nirekebishe!

Sweat K umemaliza issue yako ??? (your son was asking)