Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
- Thread starter
- #201
Asante mzee DC.....najifunza taratibu!Lizzy,
Sikutaka kuharibu post ya ndugu yangu Bishanga Bashaija (Maswahibu huwakuta wanaume wa kweli).....Ukisoma vizuri post yake utaona nilichotaka kusema.
Tatizo ni kwamba binadamu ni kiumbe wa hovyo sana. Akila chips kuku kila siku atalaani tu...wakati huo anayekula kauzu kila siku anajiandaa kuasi. Na umri wangu huu hata sijui ni kitu gani ukimtendea binadamu kitaonekana kizuri..
Mimi najitahidi kuwa mimi...Labda bibi siku moja ataweza kuja kueleza mimi ni mtu wa namna gani! Vinginevyo nabaki kinywa wazi mdogo wangu.. Hata hivyo ukikua utayaona, kuyashuhudia na mwishowe utakuwa kungwi wa uhakika!!
Mzee DC