Aaah, mimi asubuhi hii nitakuwa shambani tu.
Baada ya shughuli za shamba na mifugo kwa wiki nzima, huwa wikiendi baada ya vikao vya kiji kama vipo asubuhi, huwa napenda kwa kipindi hiki kuja shamba nakaa kivulini nikiangalia mazao jinsi yalivochomoza na maendeleo yake.
Hiyo ni kwa wikiendi hizi.
Tofauti na kipindi hiki huwa nakwendaga either kwenye maporomoko ya maji, milimani au kuendesha baiskeli, kote huko lazima nibebe miziki ya kispanish/latino au country musics pia Mang'oma
Acha maskhara kaingia Dar lini?
kama unapenda fujo na makelele njoo hapa workshop yetu hapa Keko, kuna mashine za kuchana mbao zina kelele b'laa. Bila kusahau sisi wenyewe ambao ili tuskizane inabidi tuongee kwa sauti kubwa!
Huyo mdudu unaeza chukua 'take away' ukaja kulia huku.
Sawasawa?
Aaah, mimi asubuhi hii nitakuwa shambani tu.
Baada ya shughuli za shamba na mifugo kwa wiki nzima, huwa wikiendi baada ya vikao vya kiji kama vipo asubuhi, huwa napenda kwa kipindi hiki kuja shamba nakaa kivulini nikiangalia mazao jinsi yalivochomoza na maendeleo yake.
Hiyo ni kwa wikiendi hizi.
Tofauti na kipindi hiki huwa nakwendaga either kwenye maporomoko ya maji, milimani au kuendesha baiskeli,
hahahaaaa...!! napenda kelele za mziki na fujo za walevi. huku wafumaniane, mala wamwagiane pombe, huyu katukana. hapo ndo pakujifunzia uvumilivu. mia
Nipo kwenye gari natoka mkoa mmoja kuelea mwengine ila naomba gari isifike tunapoenda kwani imepakia 'VIMWANA' si mchezo! Nahisi siku yangu leo imeanza na Barka.
very contrary na mie.
Nikikosa bar tulivu ni aheri nichukue Konyagi Phantom(750ml) nikainywee gheto!
kama umekaa na kimwana siti moja safarini basi una bahati. kwa upumbavu wa dreva gali litawahi kufika. hakikisha unachukua contact mkuu. asikuache hivi hivi. safari salama. mia
Mkuu mbona nakuona una valuu umelala kfudifudi unabofya bofya.mia
mkuu gari inachukua abira 40 tupo wanaume 19, walobaki ni wanawake hapa kwenye siti tupo 'pair' na kamvua kameshaanza kunyesha. Hem vuta hisia.
Mh! Haya weeee....... Wk end njemadah!...kweli mkuu nmevuta hisia. kashatoa kanga kwenye bagi ya kujifunika? fungeni vioo halafu umwambie mjifunike wote. mkuu usisikilizie, anza kupapasa sasa hivi. ukizubaa atakudharau. Mia
Mkuu mbona mimi huwa situmii na sijwahi tumia, hayo mambo ya valuu au alikoholi yoyote?
basi utakuwa wewe ni mbaya wa mademu. bila shaka wanakukoma. duh!. Mia
Tehe tehe tehe, wengi hudhani kama udhaniavyo.
Ila huwa siliongelei hilo nimeamua iwe offer kwa watu kuni image watakavyo.
dah!...kweli mkuu nmevuta hisia. kashatoa kanga kwenye bagi ya kujifunika? fungeni vioo halafu umwambie mjifunike wote. mkuu usisikilizie, anza kupapasa sasa hivi. ukizubaa atakudharau. Mia
utalewa halaka mkuu. Ukiamua kula nguruwe chagua aliye nona. mia