Upo Nashville Tennessee? Tuonane hapa

Upo Nashville Tennessee? Tuonane hapa

mjasiria

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2011
Posts
4,155
Reaction score
1,866
Habari wanajamii?

Natumaini tuko byee kabisa tukisukuma gurudumu la maendeleo kuelekea nchi ya asali na maziwa.

Ni hivi nimepata skolashipu ya kutokea chuo kimoja kinaitwa Vanderbilt University kiko hapo Nashville, Tennessee. Kama kawaida kuwa mbali na nyumbani huwa ni vizuri kuwa karibu na wa nyumbani. Lakini basi kama ambavyo ili upate unga unasaga nafaka nami ili nipate watanzania wanaoishi huko inabidi nije mahali kama hapa.

Kwa kifupi ningependa kama kuna watanzania wanaopatikana hapo Nashville basi sio vibaya kufahamiana. Kama kuna mkuu yeyote anayesoma huu ujumbe unaweza kutupa uzoefu na kuja inbox ukipenda.

Natanguliza shukrani nyingi sana.
 
Hongera sana mdogo wangu. Vanderbilt ni chuo kizuri. Hongera sana. Ni matumaini yangu elimu utakayaipata utatumia kwa manufaa yako na taifa lako. Hongera sana. Mungu akutangulie.
 
Yours truly's alma mater...🙂


Naah
I'm scared of the dirty south especially AR, MS, AL and TN
I heard they still got lynch towns and Klan's parades
Can't stand Honky Tonky folks
Can't stand the Blue Grass folks
Can't stand Moonshiners
 
Naah
I'm scared of the dirty south especially AR, MS, AL and TN
I heard they still got lynch towns and Klan's parades
Can't stand Honky Tonky folks
Can't stand the Blue Grass folks
Can't stand Moonshiners

Music city U.S.A. is very alright.
 
Back
Top Bottom