Upo na stress ukiwa wapi? Au una enjoy ukiwa wapi?

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,950
Reaction score
67,489
Mimi nipo hapa napunguza stress za dunia

Kulia ina ruhusiwa ila usikate tamaa maisha hayajawai kuwa mepesi ata kwa matajiri kaza moyo

All in all sita wafundisha vyote sawa πŸ˜„

Happy Easter Day in advance
 
Daah pole mkuu , ko ndo unasubr huyo kibaka ndo alipe hyo pesa 😁
 
Kuna mkuu wa kazi amezingua big time, nimezinguliwa na jembe kati...mjinga hajielewi huyu ...ake, alafu anajiona kontawa wakati hata pensi hajui inavaliwa aje amekata miguu ya jeans iliyo pakwa kamanyola...
Nitaendelea na simulizi baadae maana nishakula soda mweleka
 
Nenda kwa mganga awe ana jikojolea tu mda wote ata rudisha achana na polisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…