mh,me cjui niseme ndan/juu ya bodaboda naenda zangu kuzurura towm make hm kunachosha i.e.w-end km hv! Madame B
Heeee namimi niko kwenye bath tub, not feeling lonely though!!!Mi nipo kwenye bath tab nachezea mapovu. And feeling lonely
mitaa ipi hiyo nivialike tuchezee mapovu wote?NAPSTAR bhana,wachezea nini.....povu!!
Teh teh teh teh...!!
Kama uko lonely karbu mitaa ya huku kuna vi-Lulu kibwenaa.
Mambo BTnipo nyumbani, sebuleni nasubiri wali uive, pia tenesco wamekata umeme najipepea na gazeti.....nimechoka hooooooooiiiiiiiiiii kwa kazi za hapa na pale toka asubuhi, kwa ufupi ndo nakaa chini......
Na gizasco wakirudisha umeme nina lundo la nguo za kupiga pasi..........
waambie itabidi waje wajionee wenyewe yapo mapovu ya kutoshaNAPSTAR ...njoo huku mitaa ya Namanga,chobingo na BestBite,wananiuliza mapovu ya aina gani hayo unayowaitia wayachezee..??!!
Mambo BT