**********Mahitaji ***********
Brokoli kiasi
Carrot 1 kubwa
Kitunguu 1 kikubwa
Kitunguu saumu chembe 5 katakata ndogo au twanga
Nyanya (tomatoes) 2 kubwa
Pilipili mboga nusu (unaweza changanya za rangi utakazo)
Uzile (cumin)nusu kijiko cha chai
Limau 1
*******Namna ya kutaarisha *******
Steam carrot na broccoli pembeni
Katika sufuria nyengine weka mafuta kijiko 1 cha supu
Weka kitunguu na pilipili mboga kaanga kidogo alafu weka kitunguu saumu
Weka nyanya koroka kidogo Dixiecrat sana
Weka brokoli na karoti ulio steam awali
Nyanganya vizuri weka chumvi na limau
Acha ichemke dakika 3 alafu epua
Broccoli tayari kwa kuliwa