- Thread starter
- #41
Hivii vidude navionaga tuu kumbe ndo BROCHOLI
Mkulima sasa wewe huwa unalima nini kama huifaham brocoli?
Hivii vidude navionaga tuu kumbe ndo BROCHOLI
Mkulima ni Sir name Mkuu.... 2002 ni mwaka wa Kumbukumbu kwangu
Farkhina nimeku-miss.Mkulima sasa wewe huwa unalima nini kama huifaham brocoli?
Farkhina nimeku-miss.
Kesho naomba unipe ujuzi wa kupika nyama tamuu..sitaki nazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Umerudi mamaMkulima sasa wewe huwa unalima nini kama huifaham brocoli?
