Sasa mkuu huu ni ushauri gani,kwa hyo waendelee kulea damu zisizokuwa zao kwa sababu hyo???,mi naona kipimo kikiwa rahisi ndio fresh kwani madada zetu ndo watatuzalia watoto wetu halisi na si wa kubambikiziwa kama hv sasa
Bado sijaelewa madhumuni ya Mkemia Mkuu kuwasilisha taarifa potoshi namna ile! Taarifa imewakilishwa kama matokeo ya utafiti rasmi wakati yalikuwa ni matokeo ya sampuli za watu waliokwenda kupimwa wakiwa katika ubishi wa kisheria.Baada ya mkemia kutoa takwimu ile kuna watu wengi watataka kwenda kupima ili kujua kama watoto ni wao. Naomba serikali iwe makini hapa wakiruhusu kila mtu kupima itapelekea watoto wengi wa mitaani na kuvunjika ndoa nyingi kwani hali mbaya sana wanaume wengi sana wanalea watoto ambao sio wao ili hali wao wakijua ni damu yao.
Baada ya mkemia kutoa takwimu ile kuna watu wengi watataka kwenda kupima ili kujua kama watoto ni wao. Naomba serikali iwe makini hapa wakiruhusu kila mtu kupima itapelekea watoto wengi wa mitaani na kuvunjika ndoa nyingi kwani hali mbaya sana wanaume wengi sana wanalea watoto ambao sio wao ili hali wao wakijua ni damu yao.
DNA sio malaria haipimwi hovyo hadi document za mahakamani zinahitajika kwa kifupi ni process hadi Kuja kufanya hicho kipimo
Bado sijaelewa madhumuni ya Mkemia Mkuu kuwasilisha taarifa potoshi namna ile! Taarifa imewakilishwa kama matokeo ya utafiti rasmi wakati yalikuwa ni matokeo ya sampuli za watu waliokwenda kupimwa wakiwa katika ubishi wa kisheria.
Upimaji na utoaji holela matokeo ya DNA unakwenda kinyume cha maadili ya kisayansi na naishangaa wizara ya kina Kigwangala "kupotezea" upotoshaji huu na kuhangaika na waganga wa asili ambao baadhi matibabu yao yameleta matumaini na wameonyesha uwezo wa kufahamu wanachofanya hata zaidi ya hao Vigwangala!
DNA sio malaria haipimwi hovyo hadi document za mahakamani zinahitajika kwa kifupi ni process hadi Kuja kufanya hicho kipimo