Upi ni ujinga zaidi?

suri

JF-Expert Member
Apr 9, 2012
404
260
Salam kwenu wana JF

Hebu naomba mniambie upi ni ujinga zaidi katika haya?
1.Kung'arisha viatu wakati unaenda kupiga passport size
2.Kukaa kiti cha mbele karibu na dereva kisha umwambie konda 'shusha hapo'
3.Kumuamsha mgonjwa ili umpe dawa ya usingizi
4.Kupigiwa simu alafu unaangalia salio
5.Kupunguza sauti ya redio ili usome sms au
6.Uote nimekupiga ukanchukulie RB polisi?
 
Apo kwenye red ukinifanyia hivyo nakuchapa makonde labdda niwe hooooi.
 
Ngoja nifanye research kwanza ntakujulisha kipi ni ujinga...
Ila Ujinja ni kuomba kujichokonoa meno wakati umekunwa juice

Kweli kabisa,ujinga unaweza pia kuwa kujibu swali ambalo hujaulizwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom