Angalia upi ni ujinga zaidi?

Kajole

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
1,667
1,642
1. Kujiita romantic wakati upo single?. 2. Kung,arisha viatu wakat unaenda kupga passport size. 3.Kukaa kiti cha mbele karibu na dereva halafu unamwambia konda shusha?. 4. Kumwamsha mgonjwa ili umpe dawa za usingizi.5. kupigiwa simu halafu unaangalia balance yako?. 6. kutafuta remote ya TV for 10 minutes wakati TV ipo karibu yako?. 7. Kupunguza sauti ya redio ili usome sms?.
 
kurudiarudia thread wakati watu wameishaichangia vya kutosha, aisee huu ndio ujinga zaidi
 
Back
Top Bottom