Upi ni ujinga zaidi?

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
[h=6]1.kung'arisha viatu wakati unaenda kupiga passport size
2.kukaa kiti cha mbele karibu na dereva kisha unamwambia konda shusha
3. Kumwamsha mgonjwa ili umpe dawa ya usingizi
4.kupigiwa simu halafu unaangalia salio kwenye simu yako
5. Kupunguza sauti ya redio ili usome msg

6-Kuosha mikono wakati unakunywa soda
7-Kupiga punyeto huku unataja demu jina lake
[/h]
 
Mi naitwa Chai, adui yako No 1 ! Nipita tu ! Kiaina baada ya muda kitambo, sikuoni pande hizi.
Mambo ? Ulipotelea wapi ?
 
[h=6]1.kung'arisha viatu wakati unaenda kupiga passport size
2.kukaa kiti cha mbele karibu na dereva kisha unamwambia konda shusha
3. Kumwamsha mgonjwa ili umpe dawa ya usingizi
4.kupigiwa simu halafu unaangalia salio kwenye simu yako
5. Kupunguza sauti ya redio ili usome msg

6-Kuosha mikono wakati unakunywa soda
7-Kupiga punyeto huku unataja demu jina lake
[/h]

too late to brought it here
 
Mkuu Boflo habari za masiku?
hii mambo ilishaletwa humu mara nyingi sana.
welcome back Bandugu..
 
Mmmmh!kwan hapa kinaendelea nn?ok nawasalimia wakuu!

Hapa bwana , mavijana yangu yamekutana na sred (kiporo) yaani poro la mda mrefu ! Ndiyo vijana wakaona wauchakachue uzi kua english class ! Waache vijana wafundishane, sisi makaka zao , kwa sasa tunatakiwa tusome english figure tu! Baas!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom