Mockingbird
JF-Expert Member
- Jan 11, 2018
- 434
- 1,043
Taja maeneo mkuuu mimi nipo lindi hukuNenda Morogoro ndani ndani,kuna fursa na unafuu wa kupata soko la bidhaa zako
Uko lindi sehem ganiTaja maeneo mkuuu mimi nipo lindi huku
Sina bidhaa nataka nikafanye lolote nitakalokuta huko. Ndio mnipe fursa zinazopatikana
Kahama,,shinyanga,nzega,tabora,simiyu,geita hutojuta bila shaka.Nimejikusanya nimepata kalaki moja nataka nijilipue nitok nyumbani niende kusaka lif kivyang
Nipeni muongoz kati ya Mbeya, Mwanza na morogoro upi mkoa rafiki kwa mtu anayeanza chini kabisa. Naenda kufanya kazi yoyote tu
Chakla
Makaz
Biashara
Nk
Wat wagmu kuelewa mimi nimeomba Mbeya,Moro na mwanza wewe unaniletea mambo mengineKahama,,shinyanga,nzega,tabora,simiyu,geita hutojuta bila shaka.
Mambo gan mzee, mbn unapanic au hyo laki1 inakuchanganya sana. Kuwa na adabu kijana.Wat wagmu kuelewa mimi nimeomba Mbeya,Moro na mwanza wewe unaniletea mambo mengine
Wat wagmu kuelewa mimi nimeomba Mbeya,Moro na mwanza wewe unaniletea mambo mengine
Msigombane,,,,, mwambieni aende mbeya hasa maeneo ya uyole au mbalizi atatoboaUnapaniki kiboya,baki huko huko porini.
Nenda Iringa ukageme ulanzi!Nimejikusanya nimepata kalaki moja nataka nijilipue nitok nyumbani niende kusaka lif kivyangu.
Nipeni muongoz kati ya Mbeya, Mwanza na morogoro upi mkoa rafiki kwa mtu anayeanza chini kabisa. Naenda kufanya kazi yoyote tu
Chakla
Makaz
Biashara
Nk
Hiyo laki MOJA, usafiri tu mpaka Ukifika Mbeya imebaki 40.Nimejikusanya nimepata kalaki moja nataka nijilipue nitok nyumbani niende kusaka lif kivyangu.
Nipeni muongoz kati ya Mbeya, Mwanza na morogoro upi mkoa rafiki kwa mtu anayeanza chini kabisa. Naenda kufanya kazi yoyote tu
Chakla
Makaz
Biashara
Nk
Jamaa wa LINDI wamelegea kama mlenda,utaenda kuolewa huko uendako,tulia ushinde hapo SANTOLINI sijui..hiyo laki jilie zako urojo tu..Taja maeneo mkuuu mimi nipo lindi huku
Sina bidhaa nataka nikafanye lolote nitakalokuta huko. Ndio mnipe fursa zinazopatikana