Upi mkoa bora kuanza maisha?

Upi mkoa bora kuanza maisha?

Mockingbird

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2018
Posts
434
Reaction score
1,043
Nimejikusanya nimepata kalaki moja nataka nijilipue nitok nyumbani niende kusaka lif kivyangu.

Nipeni muongoz kati ya Mbeya, Mwanza na morogoro upi mkoa rafiki kwa mtu anayeanza chini kabisa. Naenda kufanya kazi yoyote tu
Chakla
Makaz
Biashara
Nk
 
Nimejikusanya nimepata kalaki moja nataka nijilipue nitok nyumbani niende kusaka lif kivyang
Nipeni muongoz kati ya Mbeya, Mwanza na morogoro upi mkoa rafiki kwa mtu anayeanza chini kabisa. Naenda kufanya kazi yoyote tu
Chakla
Makaz
Biashara
Nk
Kahama,,shinyanga,nzega,tabora,simiyu,geita hutojuta bila shaka.
 
Kijana una laki moja unataka uende Mwanza mbona patakuchumu mapema sana. Hapo 1.Mbeya 2. Morogoro
 
Nimejikusanya nimepata kalaki moja nataka nijilipue nitok nyumbani niende kusaka lif kivyangu.

Nipeni muongoz kati ya Mbeya, Mwanza na morogoro upi mkoa rafiki kwa mtu anayeanza chini kabisa. Naenda kufanya kazi yoyote tu
Chakla
Makaz
Biashara
Nk
Nenda Iringa ukageme ulanzi!
 
Nimejikusanya nimepata kalaki moja nataka nijilipue nitok nyumbani niende kusaka lif kivyangu.

Nipeni muongoz kati ya Mbeya, Mwanza na morogoro upi mkoa rafiki kwa mtu anayeanza chini kabisa. Naenda kufanya kazi yoyote tu
Chakla
Makaz
Biashara
Nk
Hiyo laki MOJA, usafiri tu mpaka Ukifika Mbeya imebaki 40.
 
Taja maeneo mkuuu mimi nipo lindi huku
Sina bidhaa nataka nikafanye lolote nitakalokuta huko. Ndio mnipe fursa zinazopatikana
Jamaa wa LINDI wamelegea kama mlenda,utaenda kuolewa huko uendako,tulia ushinde hapo SANTOLINI sijui..hiyo laki jilie zako urojo tu..
 
Maisha ndo hayahaya.....uliyaanza siku unazaliwa bro
 
Back
Top Bottom