Upendo Peneza: Nahitaji kushinda na nitashinda

Upendo Peneza: Nahitaji kushinda na nitashinda

Status
Not open for further replies.
Kila la Heri Dadangu.Ni wazi umethubutu utafanikiwa katika Azma yako.Tunakuombea Hekima ,Busara na safari isiyo na vizingiti kufikia lengo lako.
 
Kwa cdm dada usubili pombe na kugongwa kama wenzako wanaopelekwa dubai na kuwaacha waume zao moshi, ila sio siasa kama unavyofikilia
 
Yote haya unayasema hapa yanatufanya tu pay attention na tukuheshimu na kuku wish all the best.

But ole wako katika safasri yako hiyo uanze 'kuwavulia watu chupi' ili ufanikiwe tutakuja kukuponda na kukudharau na yote mazuri yako tunaweza shindwa kuyaona ...all the best

Silly Boss; angekuwa mwanamme ungezungumzia hili la "kuvua chupi" au unafikiri wanaume hawavui chupi na wenyewe ili kupata mambo fulani fulani?.. hizi sexist language jamani tuachane nazo.
 
Utafika safari yako madhali nia unayo kamanda. Tuko pamoja.

Wapuuze hao wanaodhalilisha utu wa wanawake ambao ndiyo mama zao.
 
Yote haya unayasema hapa yanatufanya tu pay attention na tukuheshimu na kuku wish all the best.

But ole wako katika safasri yako hiyo uanze 'kuwavulia watu chupi' ili ufanikiwe tutakuja kukuponda na kukudharau na yote mazuri yako tunaweza shindwa kuyaona ...all the best

kuwavulia chupi wanaume ni haki ya kuzaliwa ya kila mwanamke hata mamako alifanikiwa kukuzaa wewe baada ya kumvulia mwanaume chupi.
 
kuwavulia chupi wanaume ni haki ya kuzaliwa ya kila mwanamke hata mamako alifanikiwa kukuzaa wewe baada ya kumvulia mwanaume chupi.

Daaah!
Lugha kalinsana umetumia kwa ushauri mzuri na usio na madhara alio utoa The Boss
 
Last edited by a moderator:
Wewe Utaishia kupigwa mimba tu.Chadema hawapendi kuoa kwa sababu ya vibinti kama nyie wenye tamaa na madaraka
 
Hongera sana. Kama kuna kitu utapenda kujifunza kwenye suala la public relations ni kuwa epuka kuwa defensive unapojieleza. Ukitaka kuwa mwanasiasa mwenye mafanikio basi jifunze kujieleza kwa kuencourage zaidi na jiweke kwenye group, usijibinafsishe...

Nakutakia kila la heri...
 
Huyu Binti anagombea Uenyekiti wa BAVICHA - Taifa lakini jamii kubwa ya Kitanzania haimfahamu.

Anayemjua atupie hapa historia yake walau kwa ufupi tu !
 
Familia yake ni ya Geita

Ana asili ya kitusi

Alishiriki Maisha Plus ndio eneo lililompaisha

Kuna Thread ya Pasco amejaribu ku probe
 
Familia yake ni ya Geita

Ana asili ya kitusi

Alishiriki Maisha Plus ndio eneo lililompaisha

Kuna Thread ya Pasco amejaribu ku probe
Tumekwisha. Yaani Mtutsi anakuwa Mwenyekiti wa BAVICHA? Hakika Kagame anazidi kuingia ndani ya mizizi ya upinzani
 
Huyu Binti anagombea Uenyekiti wa BAVICHA - Taifa lakini jamii kubwa ya Kitanzania haimfahamu.

Anayemjua atupie hapa historia yake walau kwa ufupi tu !
Sema ni Mshindi wa nafasi ya uenyekiti wa BAVICHA
 
Mimi UPENDO binti wa PENEZA maisha yangu yamejaa mapambano yasiyoisha duniani. Nimekuwa mtu wa kuthubutu kinyume na mategemeo ya rafiki,wazazi na ndugu zangu kwa ujumla.

Nakutakia kila la heri Upendo. Mungu ni mwema najua atakupigania ili uone ndoto zako na jitihada zako zinafanikiwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom