Hongera sana
Upendo Furaha peneza kwa ujasiri wako,NAKUOMBA TU USIKATE TAMAA Hata pale uliposhindwa na ulitarajia ushindi... kumbuka mvumilivu hula mbivu ... najua sasa utaanza kunyemelewa na wengi wankiwa wanasiasa wakitaka uhujumu chama chako kwa sababu hii na ile ... Remain strong and prove to the public that you are strong ... Hata paulo katika biblia alishauri Timoteo kuwa ajioneshe kuwa anaweza na kuwa hana sababu ya kutiliwa shaka ... nawe fanya hivyo ... Jiepushe na dhambi ile ikuzingayo kwa upesi na kwa chadema jaribu kubwa ni kurubuniwa na watawala kwa vipande vya fedha ... kuwa makini sana mdogo wangu ... ntahuzunika sana kama nawe utaangukia kwenye mtego wa akina
Juliana shonza ambao tuliwapenda lakini watawala wakawapenda zaidi ...