Upendo Peneza: Nahitaji kushinda na nitashinda

Upendo Peneza: Nahitaji kushinda na nitashinda

Status
Not open for further replies.
Yote haya unayasema hapa yanatufanya tu pay attention na tukuheshimu na kuku wish all the best
but ole wako katika safasri yako hiyo uanze 'kuwavulia watu chupi' ili ufanikiwe tutakuja kukuponda na kukudharau na yote mazuri yako tunaweza shindwa kuyaona ...all the best

Naongeza hapo;Ole wako uje kuwa sehemu ya kudhoofisha harakati za kweli za kulikomboa taifa ili,kwa kukubali kuunajisi misimamo na kauli zako za sasa kwa vipande vya fedha toka Lumumba kama walivyofanya Juliana SHONZA na wenzake.
 
Hongera, ila umeanza kwa kujisifu kitu ambacho si afya sana kwa kiongozi,

pili usijaribu kuji-associate na vilivyokuwa virusi ndani ya Chadema vinginevyo hautafika mbali.
 
Kwa kifupi ,nakumbuka miaka ile unasoma baptist secondary pale mwanza. Kwa mwakalemela . Sasa sijui kama kweli hujapandikizwa na hawa magamba ,kuja kutuchafulia chama chetu. Otherwise only god knows
 
Tafadhali sana usije ukawa na tamaa ka za akina Juliana shonza na co.

Nisigemei ukikosa ubunge tena uje uanze Kumwanika Dr Slaa na Mbowe kwa ni wadini na wakabila, huku Nape akikuhagi jukwaani,.
 
Dada yangu uko njema sana,toka ndani ya moyo wangu Mungu na ikamilise kazi aliyoianzisha ndani ya moyo wako,2015 usihangaike na viti maalumu,jipange jimbo la Mbogwe na Nyang'hwale.
 
Katika mambo yote umenifurahisha sana kuitambua chadema kama taasisi na sio kikundi cha watu ama mtu binafsi kama ilivyo tafasiri kwa watu fulani,Asante sana and nakuwish mafanikio mema katika safari yako,uongozwa na dhamira ya kweli na mafanikio yake utayaona

Vijana wengi wanapenda kutengenezewa njia na wao wapite tu ila ww umeitengeneza njia yako mwenyewe,naiona nyote yako ikig'hara......Inshaallaah mungu atakuongoza na kuepuka vishawishi vya wale wasiopenda watanzania tujielewe

Umenena kweli tupu mkuu
 
Natamani madada wote wangekuwa hivyo.. wengi wanapenda ready made stuff hawataki kusota hata kidogo
 
Kwa kifupi ,nakumbuka miaka ile unasoma baptist secondary pale mwanza. Kwa mwakalemela . Sasa sijui kama kweli hujapandikizwa na hawa magamba ,kuja kutuchafulia chama chetu. Otherwise only god knows
Shida ya watu wa aina yako ni wivu,mwenzako kaandika Mawazo yake kwa jina lake halisi...kama kweli unamfahamu njoo kwa jina lako tukuhoji vinginevyo wewe ni mbulu kenge Wa madoa doa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom