Upendo Peneza kapata ajali Geita akitokea kwenye Mikutano ya Kampeni (05 Dec 2014)

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
Makamanda, Upendo Peneza kapata ajali mbaya, alikuwa kwenye Gari la Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita kamanda Alphonce Mawazo.

Alikuwa anatoka Kata ya kamuhanga kwenye mkutano yeye na mwenezi jimbo la Geita kamanda Focus Sengerema.

Sasa Yuko hosipitali ya SAKAMU Mkoani Geita amelazwa kwa matibabu Maalumu ameumia kifuani na miguu napenda kutoa pole kwa kamanda wangu Upendo Peneza kwa ajali hii Naomba Mwenyezi Mungu amjalie apone haraka.

attachment.php
 
Makamanda Upendo Peneza kapata ajali mbaya alikuwa kwenye Gari la Mwenyekiti wa chadema mkoa wa Geita kamanda Alphonce Mawazo alikuwa anatoka Kata ya kamuhanga kwenye mkutano yeye na mwenezi jimbo la Geita kamanda Focus Sengerema sasa Yuko hosipitali ya SAKAMU mkoani Geita amelazwa kwa matibabu Maalumu ameumia kifuani na miguu napenda kutoa pole kwa kamanda wangu Upendo Peneza kwa ajali hii Naomba Mwenyezi Mungu amjalie apone haraka
Get wel soon kamanda ukaendeleze kile unacho kiamini...
 
Pole sana kamanda, Shetani ashindwe, pia naomba makamanda mchunguze huenda kuna mkono wa CCM hapo maana wale watu sio wazuri.
 
He pole sana mkuu kamanda Peneza MUNGU akujalie upate ahueni mapema, isijekuwa wazee wa ESCROW walitaka kukumaliza kiaina kwa juju.
 
Upendo peneza apata ajali mbaya ya Gari alikuwa akitoka Kata ya kamhanga jimbo la Geita kwenye mkutano wa hadhara ameumia miguuni na kifuani maombi yenu

Imetolewa na Mwenyekiti wa Bavicha Geita Mhere Mwita
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom