Upendo Peneza aeleza sababu za kuondoka kwake CHADEMA

Dada anafunguka vibaya huko clouds FM kuhusu mambo ya cdm. Anamuanika Mbowe hadharani.
Mbona Kabanwa atoe Sababu hasa ya kuondoka CDM kashindwa kutoka. Mimi sijasikia alipomuanika Mbowe jipya zaidi ya Why alishirikiana na baadhi ya Wabunge 19 kwenye Harambee. Nazani Kuna Maisha nje ya Siasa
 
Mbona Kabanwa atoe Sababu hasa ya kuondoka CDM kashindwa kutoka. Mimi sijasikia alipomuanika Mbowe jipya zaidi ya Why alishirikiana na baadhi ya Wabunge 19 kwenye Harambee. Nazani Kuna Maisha nje ya Siasa
Sababu ya kuondoka katoa, labda kama sio sababu unayoiamini.
 
Naona unachanganya chuki na misimamo yangu. Tafuta popote ninapomtukana Mbowe, hadi useme nikiona anatukanwa napata faraja. Suala la Mimi kutokubaliana na kiongozi yoyote kukaa madarakani zaidi ya miaka 10 ni la principle zaidi. Kwenye hili sihitaji support ya yoyote, au kukubalika kwa yoyote.
Hakuna mtu amesema Nakupinga au nakuunga mkono kwa suala la Mwenyekiti kukaa madarakani zaidi ya miaka kumi.
Hoja zako za leo hazihusuani na uongozi wa zaidi ya miaka kumi Bali zimejikita kuonesha kuwa CHADEMA kuna huo ubadhirifu,na Mbowe ndiye anayeufanya.
Unaonesha chuki na Mbowe binafsi ma siyo chuki na uongozi wa Mbowe.
By the way,hakuna mtu mwenye akili na anayejiita mwanademokrasia anaweza kukubaliana na kiongozi wa kisiasa kukaa madarakani zaidi ya miaka kumi.
Hilo nakuunga mkono,lakini hili la kumchukia Mbowe binafsi na kushadadia uzushi mtandaoni ni ushenzi.
 
Unaweza ukawa na uchumi mzuri na bado ukawa huna kiasi. Kwake ameona kabisa kama huko cdm anakutana na mizengwe na Hana uwezo wa kupata cheo, ni bora ahamie ccm ambako anaweza kupewa cheo amalize kiu yake.
Ni rahisi zaidi CDM kwake yeye kupata cheo tena bila uchawa kuliko ccm.

Labda atapewa kama sehemu ya makubaliano yao ya kuhamia huko.
 
Dada anafunguka vibaya huko clouds FM kuhusu mambo ya cdm. Anamuanika Mbowe hadharani.
Duh...
2052319_DSC_0261 (1) (1).jpg

Jameni mtanisamehe huyu dada namkubali sana!.
Ni kijana binti mdogo mwenye uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja za kitaifa na kimataifa,huwezi kumsikiliza usimpongeze vinginevyo uwe na wivu uliopitiliza mno.
Nawasilisha kama kuna mwenye kumfahamu zaidi amwagike.
Mkuu sweya lugendo, naunga mkono hoja, CHADEMA kususia kuteua EALA ni strength au ni udhaifu wa ubinafsi?, nimependekeza huyu binti asimamishwe na Chadema, EALA!. Mnaonaje?
Kwa wasio mfahamu, kumfahamu zaidi na anasimamia nini, karibuni mitaa hii
Ref: Mnaweza kumsoma Upendo Furaha Peneza humu
  1. Upendo Furaha Peneza (@UpendoPeneza) | Twitte
  2. Upendo Furaha Peneza: Gold in the rough. Vijana CHADEMA mpo?
  3. Upendo Peneza ni malkia Nzinga Mbandi wa BAVICHA
  4. Upendo Peneza: Nahitaji kushinda na nitashinda
  5. Upendo Peneza leo Bungeni; Huyu Dada ana uwezo mkubwa sana
  6. Upendo Peneza wa CHADEMA atoboa siri ya CHADEMA na Sabodo
  7. Mungu amenipa nafasi nyingine ya kumtumikia na kutumikia watu wake. Praise be to God!
  8. Upendo Peneza kapata ajali Geita akitokea kwenye Mikutano ya Kampeni (05 Dec 2014)
  9. Upendo Peneza ataja sifa za mwanaume wa kumuoa
  10. Upendo Peneza (CHADEMA) awalaumu Wabunge wanaohama vyama. Asema chaguzi za marudio ni kucheza pesa za wananchi!
  11. Mheshimiwa Upendo Peneza asisitiza amani akiwa ziarani na Waziri Mkuu
  12. Mbunge Upendo Peneza(CHADEMA) akamatwa Geita mjini, aachiwa kwa dhamana
  13. Je, Rais wetu, Magufuli anasoma JF? Rais, Please msikilize Binti huyu, ana hoja ya Msingi!
P
 
Asingeweza; hakuwa na mamlaka hayo. Teknik ya hayati JPM ya kuufuta upinzani ilikuwa ni utendaji kazi uliotukuka, uliokuwa unapelekea wapinzani wahame wenyewe kutoka upinzani kurudi CCM

Asingeweza; hakuwa na mamlaka hayo. Teknik ya hayati JPM ya kuufuta upinzani ilikuwa ni utendaji kazi uliotukuka, uliokuwa unapelekea wapinzani wahame wenyewe kutoka upinzani kurudi CCM
Ila Magu alikuwa boya Sana, unaiba uchaguzi halafu miezi mitatu unadedi na kumuachia mtu mwingine. Very stupid. Leo kaacha bunge la kijinga.
 
Unaweza ukawa na uchumi mzuri na bado ukawa huna kiasi. Kwake ameona kabisa kama huko cdm anakutana na mizengwe na Hana uwezo wa kupata cheo, ni bora ahamie ccm ambako anaweza kupewa cheo amalize kiu yake.
Ndio aende huko CCM aache kelele. Akina Slaa walienda huko , ila Leo wanarudi kwa mlango wa nyuma. CHADEMA ni taasisi, wewe ondoka wengine watakuja. Mtu umepewa ubunge viti maalumu ukapewa na kugombea ubunge ila maneno mengi mdomoni, unataka Nini?. Aende akawafuate akina Rachel mashishanga.
 
Mfumo dhaifu wa Chadema ,hauwezi kubeba watu smart, unahitaji mabadiliko makubwa
Haiwezekani mamia Kama sio maelfu ya wanasiasa smart na maarufu wote waliondoka Chadema wawe wasaliti au na matatizo Kama walivyozoea kuwaita

Bahati mbaya au nzuri hata kiongozi wa juu aliwahi kuonja maumivu ya kuitwa msaliti akiwa kwenye hiyo hiyo nafasi kitendo kilichopelekea akahutubia akiwa mlevi ili kujihami

 
Back
Top Bottom