Upendo ni zawadi

Tatizo wa kukupa upendo wa hvo sijui walishakufaga
Hahahaha umegundua tatizo lipo wapi Sasa, unawaza wa kukupa,we umempa Nani???

Ukiwa na upendo utatoa ,ukiwa huna unatafuta wa kukupa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaha umegundua tatizo lipo wapi Sasa, unawaza wa kukupa,we umempa Nani???

Ukiwa na upendo utatoa ,ukiwa huna unatafuta wa kukupa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ninaoo sema sion wa kumpa[emoji848]
 
Hapo wameshaficha hati za nyumba na kadi za magari[emoji23][emoji23][emoji23].
Siyo Mimi nimesema lakini ni wewe.
Ha ha ha ha ashaongea pia na mwanasheria wako ili kuficha urithi kama uliandika yaan tafran tupu bora uwe middle kuliko tajiri
 
Aisee yaani unamwambia kabisa let's end this na yeye yumo tu? Au wewe mtamu kuliko mcharo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo bwana. .hata mimi nimeanza kumuhisi hivyo hivyo "" mcharo itakuwa hagusi hapo... haiwezekani agandwe kama ruba kiasi hicho aise
Aisee yaani unamwambia kabisa let's end this na yeye yumo tu? Au wewe mtamu kuliko mcharo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa huo unakua sio upendo bali biashara...! Upendo wa kweli ni unapenda bila kutegemea return yeyote...! Usimpende mtu ili na yeye akupende, au ili upate chochote kutoka kwake, ukifanya hivyo utakua sio upendo wa kweli....
Mungu mwenyewe anatupenda lakini anategemea "return" kutoka kwetu(kwa waaminio), iweje upendo wa mtu na mtu...

Wanasema love is give and take..
 
Mkuu sasa kwanini ilikuwa haumtaki? Ana mapungufu yapi "-- ?
Kuna watu ving’ang’anizi aisee mpaka kero tena kubwa sana. Halafu mwenyewe ndiye aliyeharibu. Sitaki ujinga ujinga miye. [emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…