Leo ni siku ya wapendanao,nimesikia media zikiongea sana,"upendo mubashara"nijuavyo upendo siyo maneno ni vitendo,siyo kulazimishwa kumpenda mtu hata kama hakutendei lile unalotaka,sawa leo ni Siku ya wapendanao ,Muungwana ni vitendo,mtu akitenda vyema automatically atapendwa tu,sihitaji mtu mwingine anikumbushe kumpenda mpenzi wangu,upendo ni vitendo siyo lazima.wewe unasemaje?