Hii ni kama ulikuwa unakula keki ya kwanza ukaona ni nzuri ukachukua nyingine ni nzuri unataka kuchukua ya tatu unazuiliwa kuchukua hii inamaana bado akili yako inategemea kitu fulani kwenye ile keki ila umeikosa ghafla hivyo ili akili iwe sawa itachukua muda
Hii unaweza kuona unapenda vitu vya kuonekana ila psychological kuna kitu unakitafuta aidha furaha, amani, usalama, mwanamke anapochagua pesa ni kwa sababu ya anahisi atapata usalama ila anapoona hakuna usalama ndio anapondoka, wanaume anapochagua uzuri wa nje kama sura, umbo ni kwa sababu psychological ubongo umeprogramiwa toka zamani kuwa huyo ndio atakuwa na afya nzuri utapata watoto wasio na magonjwa ya kurithi