Upendo haumo katika maneno

Upendo haumo katika maneno

wala sijawahi fika huko kwa madiba ila najua cha kuombea maji tu, uliniona wapi tena?

Gud sana namna hyo unatakiwa kujua lugha mbalmbal kama ivo. Nilikuona mitaa flan umezama ndan ya hekma nikaogopa kukuvuta shat ikbd nipte pembeni...
 
shukran mkuu hapo nimefrah make nilikua nasubr kwa ham kukarbshwa na Mwanyasi. Haya juic yang naitaka...

Ewaaaa, nilivokuona tu mara ya kwanza moyo ulihisi kukukaribisha, KOKUTONA dada yangu ameunga mkono ili tuwe na mazungumzo ya falagha.
Nakualika tufanye kikao muhimu pale mmu hotel......!
 
Last edited by a moderator:
Ewaaaa, nilivokuona tu mara ya kwanza moyo ulihisi kukukaribisha, KOKUTONA dada yangu ameunga mkono ili tuwe na mazungumzo ya falagha.
Nakualika tufanye kikao muhimu pale mmu hotel......!

Alafu dada'ko kOKUTONA alinikarbsha kwake sasa kabla ha2jaenda uko MMU HOTEL twende kwanza kwa dada'ko, kama hutojali 2fanye maongez ukouko au vp?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom