Upendo haumo katika maneno

Upendo haumo katika maneno

kwani kwenu mmeingiliwa na mafuriko
pole bestito ila chakufanya chukua
hayo magodoro na vitu viweke darini vitapona

Hapana Lady kwetu hayajaingia, mvua ndio imeanza. Nilimuona miss neddy kapanda juu ya bati na godoro lake, sijui kashashuka kule?
 
Last edited by a moderator:
Usijali cousin tuko pamoja katika shida na raha... Undugu sio kufanana bali kufaana!!!
 
Habarini za siku nyingi
mabestito wangu niliwamisije?

ACHA NIWAACHIE KACHORUS KATAMU
KA KUWAKUMBUKA MARAFIKI ZANGU

Upendo haumo katika maneno;
unaonekana kwa matendo;
hauonekani kwenye raha;
wathibitika wakati wa shida.

Wimbo huu ulinifariji sana na kunifanya niwe murua,
sitasahau mateso, machungu niliyoyapata kifungoni,
wanaposema watu kifungo ni sehemu ya jela kweli
nimeamini' Kifungo kimenipunguzia hamu ya maneno;

Ingawaje wengine walifurahia kuona niko lupango;
ila kuna wengine ambao walihuzunika pamoja nami;
na wengine wadiliki kunitafuta kwa udi na uvumba;
ili mradi wasikie suti yangu, walininicarriage na kuwa
karibu yangu, kweli sitoweza kuwasahau kwani wao
ndio walionipa furaha nyakati zile.

mmojawapo ni Excel alimwambia binamu yangu kuwa
amenimiss; na wengine ni ndugu zangu katika ukoo wa watu8; kuwataja kwenye midomo yangu ilikuwa ni kila
siku hawa ndugu zangu wamenipa changamko la milele;
Kweli nimepewa ndugu humu mjengoni nimefarijika
daima unapoona uko kwenye shida, barriers mbalix2;
jua kuwa Mungu huwatuma watu wake wakulishe kama
ndege alivyokwenda kwa nabii isaya na kumpa nyama
nyakati zile za ukame kule misri, nawakumbuka sana Passion Lady, charminglady, na Lady doctor
ambao ndio walinitia moyo na kusema kuwa ipo siku
utatoka shimoni.

Marafiki msiombe kuingia kwenye BAN ni kubaya asikwambie
mtu kwani hata kilo za mwili zinapungua ukitaka kujua zaidi;
wewe muulize Baba V kwani nilikutana naye huko BANNED

Nimemsamehe 7x70 yule kauzu anayejifanya yeye ni mnyavtaka
na nimekuja kwa KISHINDO tena kwa UKAMANDA uliothibitika
MWALIMU WA WANAWAKE muelimishaji rika kaeni mkao wa somo

Nawatakia siku njema

Wasalamu;

Ladyf

CC: Erickb52, kabanga, Slave, Arushaone, Filipo, Annie, Bujibuji Himidini, The secretary, Madame B, sweetylady, FirstLady, KakaKiiza, Kipaji Halisi, Kongosho, everlyn
na wengineo wengi samahani kwa wengine ambao sijawataja samahani sana
nawapenda

we mbona ulikuwamo humu siku zote? mi nina reason
 
Last edited by a moderator:
Ukitaka kuwa na maisha ya amani hapa jukwaani ikubali BAN na kuifanya sehemu ya maisha yako, maana kuna watu wana maudhi na usipowapa haki yao unaweza ukapata kansa ya akili, mi mwenzenu baada ya kuikubali BAN nimekuwa na amani kwa kweli, siiogopi tena, tena kuna wakati naharibu afu najipeleka mwenyewe servan mods ndo wanakuja kuniambia hatujakupiga BAN.
 
Sure mkuu,hakika kuna watu wanakera.Ni bora kuwapa za ukweli then unakubal ban.Kama mie nimetoka kifungoni juzi tu.
 
sipendi ugomvi na wewe; sipendi unifuate kiasi hicho sipendi malumbano

napenda amani ,utulivu na kuchat na kila mmoja hapa mjengonio
sipendi unavyonifanyia spendi kabisa
we mbona ulikuwamo humu siku zote? mi nina reason
 
ni kweli kaka yangu unachokisema kuna mtu sasa hivi katoka kuniudhi kiasi kwamba nashindwa nimfanyie nini ameniudhi na na nimemchukia sana

Back
Top Bottom