Upendo haumo katika maneno

Upendo haumo katika maneno

Pole mdada ladyfurahia..ni kweli upendo bila matendo hauna maana na hauwezi kuwa upendo.

Maandiko toka BIBLIA 1JOHN 3:18 yanasema ' Dear children, leet us not love with words or speech but with actions and in truth
 
Last edited by a moderator:
Eheeeeeee pita ndani
nakuandalia juis ya miwa mara moja. KOKUTONA umemuona mgeni?

shukran mkuu hapo nimefrah make nilikua nasubr kwa ham kukarbshwa na Mwanyasi. Haya juic yang naitaka...
 
Last edited by a moderator:
asante mwaya anashukuru kwa neno la kunifariji bestito
Pole mdada ladyfurahia..ni kweli upendo bila matendo hauna maana na hauwezi kuwa upendo.

Maandiko toka BIBLIA 1JOHN 3:18 yanasema ' Dear children, leet us not love with words or speech but with actions and in truth
 
Mwambie asiondoke hadi nije..nina tamani sana kumuona,mupe chupa kabisa ya hiyo juisi, glass wil not be enough

Hahaaa... Nina ham na hyo chupa. Naomba niulzie lady furahia ye hapend wagen? Hata kwako kama hutembelew ni nuks...
 
Hahaaa... Nina ham na hyo chupa. Naomba niulzie lady furahia ye hapend wagen? Hata kwako kama hutembelew ni nuks...
Umeona eeh,wageni ni baraka asikwambie mtuu...karibu kwangu pia. ladyfurahia eti hupendi wageni?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom