Upendo haumo katika maneno

Upendo haumo katika maneno

mmmmh janeth1 kwa dada yangu itabidi nikupeleke ukitoka huko mlikopanga kuenda.
 
Last edited by a moderator:
mmmmh janeth1 kwa dada yangu itabidi nikupeleke ukitoka huko mlikopanga kuenda.

kule twaenda jiona, kwa dada'ko twaweza enda kabla, ila unatakiwa kumpa taarfa kwanza 2cjekuta hayupo.
 
Last edited by a moderator:
kule twaenda jiona, kwa dada'ko twaweza enda kabla, ila unatakiwa kumpa taarfa kwanza 2cjekuta hayupo.

dada KOKUTONA yupo saana tu, labda akitoka kidogo ujue atutafutia kinywaji au anataka tu atuache peke yetu ili... hii mvua iache.
 
Last edited by a moderator:
yaan huyu ni zaid ya mgambo mafunzo kapatia kule wanakotengeneza mabom iv kunaitwaje vle???

kule gongo la mboto au mbagala? ngoja niongee na dada yangu Arabela kama anataka "BODY GUARD"
 
Last edited by a moderator:
dada KOKUTONA yupo saana tu, labda akitoka kidogo ujue atutafutia kinywaji au anataka tu atuache peke yetu ili... hii mvua iache.

Teh teh.. Mwanyas had kwa dada unaweza kuu.. Mie naogopa. Kwel hi mvua sasa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom